Sifa za wanawake/wadada wanene

Sifa za wanawake/wadada wanene

nakwambia mke wangu ana vituko balaa... atavaa khanga nyepesi ile ya kulalia halaf mara atafute kitu uvunguni... mara atoe mpira aweke mziki acheze... mara akwambie kiuno kinamuuma em nikande... yaan hapo ujue anataka kunipiga hela ya mwisho wa mwezi...!!!!
Hahahahahaaaa! Mkuu huyo atakua Mke au Hawara?
 
Back
Top Bottom