utakuwa mwembamba sana lol
labda wahitaji kulishwa unenepe lol
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
natamani nione ulichpofuta hapo juu
labda ulishwe 'mhogo wa jango'mbe lol
hommie,
huyo anawatusi vibonge kiaina😀😀
eti VIINA KISEMWA SEEMWA
kama yangu eeee?? kwi kwi kwi!
VILE VILE WAVIVU, NA HAWANA AKILI SANA, NDIO MAANA USAU sau. Kazi za kiume hawawezi kuzifanya.
chunguza tu utaona wanawake wanene akili zao % 50 zimeenda na maji. Akili zao zipo kufikiria kula tu na sex zaidi.
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......