Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,239
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
we we we! ulikutana na waliokula pono! acha kabisa, ................,, lol!
Wanawake wanene wavivu sana kitandani, mara nyingi hupiga mayowe pasipo kujituma. Hovyo sana!
Nimemstukia The Boss, uzi huu lengo lake ni kujua maumbile ya wadada wa JF; he is very smart you know!
Simpi hiyo satisfication. LOL
Ila weye nakutumia picha yangu kwa PM nikiwa na swimming suit, ukimuonesha utaula! LOL
​Wachovu kwenye "jigijigi"
Size ipi 40, 50? chukulia Mh Dr Rev Rwakatare ni size 30
ok hebu tupe kidogo ushawahi kuwa nae.??? na sidhani kama wako hivo, moyo anao kila mtu mnene na mwembamba. na kusamehe ni moyo wa mtu.
sio kweli
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......