Andrew Sosipeter
Senior Member
- May 29, 2016
- 189
- 33
Uwe na C tatu na D mbili.
usumbufu kivipi mkuu, fafanuaUwe na C3 pamoja na D2 kwanza!
Jengine, Katika Hiyo Combi ni Lazima uwe na atleast C2 na D1, Venginevyo ni usumbifu Kwako kupitia Necta kwenye Final Exam.
Asante kakaC 3 kwenye cheti
Asante kaka maana iko hivi CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D B /MATH D ila amejipanga kusoma EGMUwe na C tatu na D mbili. Pass tano
Nieleweshe hapo kk maana tucje kukabana mashati na waalimu kwa kukosa no ya necta maana matokeo yapo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D B /MATH D na nahitaji EGMUwe na C3 pamoja na D2 kwanza!
Jengine, Katika Hiyo Combi ni Lazima uwe na atleast C2 na D1, Venginevyo ni usumbifu Kwako kupitia Necta kwenye Final Exam.
Bora angesoma HKL hata hiyo shule inayompokea EGM wana matani aisee.Asante kaka maana iko hivi CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D B /MATH D ila amejipanga kusoma EGM
Kasome CBG ipo siku utanikumbuka, ila ukifaulu advance na hiyo cbgWana jf mi matokeo yangu yako hivi
chem-B
Bios-B
geo-C
Eng-B
maths-C
Kisw-C
Hist-D
Civics-D
Afu cjachaguliwa kusoma popote je naweza soma EGM private?
ushauri pliz
Wewe unatafuta sifa hapo mbona hata CBG imekubali kwa nini wasukuchague au unatafuta kickWana jf mi matokeo yangu yako hivi
chem-B
Bios-B
geo-C
Eng-B
maths-C
Kisw-C
Hist-D
Civics-D
Afu cjachaguliwa kusoma popote je naweza soma EGM private?
ushauri pliz
Utapokelewa tu mkuu hakuna shule unayokataa hela, by da way huez jua labda ukifika waziri atakua mwingine hivyo akija mwingne atabadilishaNieleweshe hapo kk maana tucje kukabana mashati na waalimu kwa kukosa no ya necta maana matokeo yapo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D B /MATH D na nahitaji EGM
Huo ni uongo toa namba yako tugugoWana jf mi matokeo yangu yako hivi
chem-B
Bios-B
geo-C
Eng-B
maths-C
Kisw-C
Hist-D
Civics-D
Afu cjachaguliwa kusoma popote je naweza soma EGM private?
ushauri pliz
Pow kkUtapokelewa tu mkuu hakuna shule unayokataa hela, by da way huez jua labda ukifika waziri atakua mwingine hivyo akija mwingne atabadilisha