Ni kweli yote hayo niliyokueleza yapo huku, lakini lengo langu lilikuwa ni kupima dhamira yako kama kama kweli umedhamiria katika kusaka machangu, sasa nikuambie kitu, kutokana na kuwepo na madini katika eneo hili, hali ya maambukizi ya UKIMWI iko juu sana ingawa kutokana na hali ya hewa na lishe bora iliyopo inachukua muda kuonekana. Hao unaowaulizia utawaona ni warembo, lakini kwisha kabisa, na ukiupata huku utakaa nao na afya nzuri ila siku ukibadilisha tu mazingira, lazima tutakuimbia ......Niagieni.........Kwa tabia zako hizo za kutaka machangu kwa udi na uvumba, ukifika huku usi-nipm, mimi nimejichukulia Mke Mzuri, Mweusi kutoka Shirati.
Hv vipo kila kona Tz nenda Kagera uone hiyo bangi jijini Dsm inavutwa Kama sigara mishare hata mtwara ipo Ubishi hata mwanza shinyanga upo tena Hakuna kabra wabishi Kama Wanyantuzu hao wanabishana na tv au Radio acha hizo vigezo vyako vimeashiria c sehemu salama pa kuishi wakati si kweli Tarime ni pa kawaida Kama wilaya zingine

Ni kweli uyasemayo ila kwa Tarime hayo niliyoyataja ni kama fasheni....yaani ni jambo la kawaida sana kuona mtu anampiga mkewe au hata kumuua, watu kuchomana visu, na kulima bangi ekari kwa ekari na kuvuta kama hawana akili timamu. I lived there, why nidanganye?