Sifa za "SMART PHONE"

Nyasiro

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,201
Reaction score
551
Nimekua nikibishana na jamaa zangu kuhusu "Smart Phone" kila mtu anadai simu yake ni Smart Phone. Sasa naomba tuelezane ni zipi sifa za Smart Phones?
 
kama haina a *smart operating sytem* sio a smartphone. kama haioperate under any of these OS: iOS, Symbian, Meego, Android, BADA, Windows, Blackberry, au Palm OS basi sio a smartphone. simple!!
feature phone ni simu ya ghali kiasi lakini haina any of the OSniliyotaja hapo juu labda ndo mwenzako anaita smartphone ila zinakula Java. tee hee :biggrin:
 
Hakuna clear definition ya smartphone kusema ukweli, watu wanaamuaga tu kuweka simu kundi fulani ila ukifikiria vizuri ni vigumu sana kubainisha ipi ni smartphone ipi sio.

Wikipedia inasema hivi:

 
leh Kang vp kuhusu upande wa processor & ram ni sifa pia?. Je cm kama Siemens c25 haina kabisa procesa na ram?
 
Last edited by a moderator:
wakuu mi ni mgeni humu ndani, naomba msaada wa kupata housing ya simu GT 540, kwani nimetafuta sana bila mafanikio..nawasilisha
 
leh Kang vp kuhusu upande wa processor & ram ni sifa pia?. Je cm kama Siemens c25 haina kabisa procesa na ram?

Processor na ram si kigezo cha smartphone kwa sababu kuna asha qwerty moja ina 1ghz processor lakini si smartphone wakati smartphone za android nyingi zenye gingerbread kama galaxy pocket, micromax (ile list yangu ya cheap smartphone za android) wote hawana 1ghz wanarange 600 hadi 800 mhz so processor na ram sio ishu.

Hao c25 na simu zote za analog za zamani wanazo processor japo makubwa sema zilikua zinafanya kazi ndogo

Mfano my dear unbeaten kwenye drop test the mighty nokia 3310 hii ni image ya processor yake

 
Last edited by a moderator:
Another feature 4 a smart phone is that it should be able to process(read and edit) documents(word, p.point, pdf files etc)
 
Another feature 4 a smart phone is that it should be able to process(read and edit) documents(word, p.point, pdf files etc)

S40 zinafanya hivo mkuu lakini sio smartphone na sku hizi kuna web app ndio kabsaa kila simu inafanya.
 
we chief una ubia na nokia manake mapenz yako na nokia ni kama...

kwa hiyo asha za QWERTY sio smart phone?

for sure ! pia hata x2, c3, they are not smartphones!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
another sifa ya smart phone ukipigiwa simu akaring ukiigeza inatakiwa iite katika silent mode
 
naomba tuache maneno mengi naomba tuzitaje sifa

  • ?
  • ?
  • ?
  • etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…