Sifa za mwenzi wako

Kimsingi huwa naamini huwezi pata vyote kwa mtu mmoja ila sasa kwa mimi naona aheri nipambane na namba 1 tu. Hao wengine waangukie kwenye michepuko hasa huyo namba 3.

Binafsi nimepata namba 3 kadhaa wakanipenda haswa ila niliwapiga mkasi nikatulia zangu kwa namba 1.
 
Sasa si bora umpate mpambanaji kwenye maendeleo kuliko mzur kwenye tendo, tendo lenyeww dk kadhaa basi, ila maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom