The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Kibongo bongo kuzalisha ni sifa .Kuna mambo mawili umekosea 3 na 5
Naweza kuwa mwanaume na nikaishi kwetu.. Kama nyumba zipo mali zipo zakutosha kuna haja gani yakuhangaika kwenda mbali na nyumbani wakati tunajitosheleza.
Pia kumzalisha mwanamke sio kipimo cha uanaume. Kuna malengo, sio kuzalisha tu!
Vipi kuhusu alimpeleka mwanamke leba alafu kutunza mtoto kakimbia majukumu? Huyo nae ni mwanaume?
Kihalisia je? Unazalisha alafu hujui mtoto anakula nini anavaa nini anaishi vipi??Kibongo bongo kuzalisha ni sifa .
Ni ignorance tu ya kutaka pride za ovyo ovyoKihalisia je? Unazalisha alafu hujui mtoto anakula nini anavaa nini anaishi vipi??
HahahahaMwanaume wa kweli ni lazima amjali na kumhudumia mwenza wake kwa kila hali na sio kulia lia kila kukicha. ( kama wa humu jf wakiombwa buku washafungua uzi) Teh teh
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mwenye msaliboko wa haja na siyo kibamia..!Mwanaume wa kweli ni yule mwenye......
ha ha ndo hvo Mtu anajiita mwanaume alafu anaishi kwa wazazi hii inachekeshaNamba tatu hahahhahahahaha sjui umewaza nini
na Mwanaume wa kweli lazima uwe na bills kaunta za juu zote hapa mjiniMwanaume wa kweli lazma uwe na madeni Saccos zote kubwa mjini.
mwanaume wa kweli haombi samahani....Hahahaha
Mwanaume wa kweli lazima asimame kama mwanaume kwenye mahusiano yake, kujishusha na kusema samahani sio kosa inaruhusiwa