Sifa za mwanaume na mwanamke bora

ndio atapatikana kanisani sio stend,bar wala kwenye daladala
 
Ndoa imekuwa kama mitambo ya nyuklia,haiendeshwi bila kuwa na manual
 
Mhhhhhh!!!! Labda mtu uioe hiyo thread manake ndo ina sifa zote!
 
Aaah wapi sifa zote hizo anazo mme wangu Arovera tuuu
 
Last edited by a moderator:
Kila mwanamke au mwanaume ni bora inategemea jinsi mnavyotendeana. ( it all depends on how you treat each other)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…