aahahahhaahahahahahhhha typical mwanaume wa kiafrikaNow naweza kufikiria tena
ombi lako la thread ile? lol
mimi mwanaume wa kib-roiler wallah cjawahi kumzimia! sijawahi kuwaza kabisaaaaaaaaaaa! kila cku nasemaga nazimika na mwanaume mweusiiii, yaani african kiukwelikweli! huwa niki-imagine manguvu ya kina okonkwo na rangi kama djimon hounsou! wallah naweza data kabisaaaaaaaaaa! jamani mwanaume mwenye sifa za kiume na mwafrica kwel kwel ana raha yake haswaaaaaa!halafu kuna watu wanafikiri 'mnapenda wanaume wa kizungu'
zungumzeni msikike ili vijana warudi kwenye mstari
best upo?? nakwambia mi nililia mpaka machozi yalikauka na macho yakavimbaaaaaaa! ila babangu alikuwa anasali tu muda wote na kumshika mama mkono! baaaaasssssiiiii! NILIMSALUTE! wanaume wa siku hizi akijikata na kisu wa kati wa kuchonga muwa, huo ukunga wake! utasema kakalia jiti! lol!pole sana my dear...
wababa wa siku hizi hata kumshikilia mtoto achomwe sindano ya kutoa damu ya malaria wanalia, lol!
rafiki, yaani mimi ni pure African woman, na sifagilii kabisa uzungu nyumbani kwangu................. kila mtu kwangu anajua, mume wangu ni BABA, na na-enjoy kum-treat kama baba, kwa sababu naye ana sifa za kuwa baba....................... comedy zinafanyika tukiwa peke yetu chumbanikaribu rafiki..
sasa kama mnatupenda wanaume wa kiafrika
na nyinyi mpunguze uzungu
'mna mix maji na mafuta'
upo rafiki?
Ila kama utarudi majogoo kwa mwanamke wa siku hizi utaambiwa "rudi huko huko ulikotoka"! r u ready?
Hilo tumeliona mdogo wangu snowhite,
Vijana wa siku hizi hata hawaeleweki kabisa. Ndiyo maana sie wa enzi zile tunakuwa na wasi wasi kama kweli matumbo ya mama zetu bado yana uwezo wa kutoa matunda ya maana...Unaweza kuhisi kwamba labda siku hizi kuku wanaweza kutotoa vifaranga kutoka kwenye mayai visa...!! (Samahani sana kame nimetumia lugha ya kuudhi)!!
Hata hivyo, ni jukumu letu kuwasaidia....Na tutaendelea kufanya hivyo!
Babu DC!!
na ukifika hiyo majogoo mama anawasha kuni kukupashia chakula ili usilale na njaa,lol!Nipo dear...
Mwanaume wa Ukweli wa kiafrika uwa anafunguliwa geti/mlango (either anaendesha gari au anatembea kwa mguu kuelekea nyumbani kwake) akiwa mita 50 kabla ya kufika makazi yake...! Haya mambo ya kupiga piga honi za magari ni udhaifu wa wanaume wasio wa ukweli...!
anyway, labda ndo tunavyowalea..................... ila usiwe na wasiwasi rafiki, wale wakwe zako ni real African men following from their dad.........................best upo?? nakwambia mi nililia mpaka machozi yalikauka na macho yakavimbaaaaaaa! ila babangu alikuwa anasali tu muda wote na kumshika mama mkono! baaaaasssssiiiii! NILIMSALUTE! wanaume wa siku hizi akijikata na kisu wa kati wa kuchonga muwa, huo ukunga wake! utasema kakalia jiti! lol!
that's why you are my friend, we share a lot................mimi mwanaume wa kib-roiler wallah cjawahi kumzimia! sijawahi kuwaza kabisaaaaaaaaaaa! kila cku nasemaga nazimika na mwanaume mweusiiii, yaani african kiukwelikweli! huwa niki-imagine manguvu ya kina okonkwo na rangi kama djimon hounsou! wallah naweza data kabisaaaaaaaaaa! jamani mwanaume mwenye sifa za kiume na mwafrica kwel kwel ana raha yake haswaaaaaa!
mimi mwanaume wa kib-roiler wallah cjawahi kumzimia! sijawahi kuwaza kabisaaaaaaaaaaa! kila cku nasemaga nazimika na mwanaume mweusiiii, yaani african kiukwelikweli! huwa niki-imagine manguvu ya kina okonkwo na rangi kama djimon hounsou! wallah naweza data kabisaaaaaaaaaa! jamani mwanaume mwenye sifa za kiume na mwafrica kwel kwel ana raha yake haswaaaaaa!
na ukifika hiyo majogoo mama anawasha kuni kukupashia chakula ili usilale na njaa,lol!
imagine wewe ni hb lakini legelege! huna sifa kwa kweli, na kama una mpunga unautumia wadada watakuja ili waupate tu mpunga wako, ila game la uhakika anakwenda kulisaka kwa hao niliokutajia 'real african men'! kuna wazungu pia wanakwenda gym na wapo wanawake wanaofall huko, ila mimi kama mimi navutiwa zaidi na black men, halafu liwe limejengeka kiume, then lina sifa hata 7 kati ya hizo hapo juu! acha tulale kwenye mkeka na kula dagaa, kikubwa unaniridhisha na moyo wangu umeridhia! na linapokuja suala zima la kichapo panapo 6 by 6 linaoverdose! acha kabisa, waliobaki kwangu wote nawaona elton john!!!PERIOD!hapa tunaweza panua mjadala
uafrika ni tabia au maumbile?
wapo 'broiler ambao wanakwenda gym na wako fit'
lakini 'wanahongwa na wanawake na wanatumia nusu saa kwenye kioo asubuhi'
kwa kweli nilikuwa najiuliza siku nyingi sana kwanini ndo au mahusiano ya hawa vija yanayuba sana nimegundu ni vitu vingi sana,kijana wa kiume nakuwa bado,wa kike yeye mjuaji!ndo mana kila siku nasema yale mamabo ya jando na unyago yangerudi yale ingekuwa bora sana
mwahhhhh my dear! For sure we do! Msalimie my shemeji khaaaa!that's why you are my friend, we share a lot................
Na kweli.Nimesoma taratibu, mstari kwa mstari....NAMBA NANE(8) imetulia, thanks babu DC.
janga la kitaifa indeed!hili la watoto wa kike wajuaji
na ukichanganya na masharobaro walio waoa ni'janga la kitaifa'