Bak byzo I.T JF-Expert Member Jun 29, 2014 264 122 Dec 22, 2015 Thread starter #61 Purple said: Jana mlisema mahitaji yenu kwa wanawake ni matatu tu: kupikiwa,unyumba na tuwaache mpumzike sasa leo mmekuja na mpya tena, kazi kweli kweli Click to expand... Haya yalisaulika
Purple said: Jana mlisema mahitaji yenu kwa wanawake ni matatu tu: kupikiwa,unyumba na tuwaache mpumzike sasa leo mmekuja na mpya tena, kazi kweli kweli Click to expand... Haya yalisaulika
the reformer Senior Member Dec 15, 2014 195 67 Dec 22, 2015 #62 Evelyn Salt said: Mmh huku ni kutuandaa kisaikolojia ili mtupande vichwani, haipo hiyo. Click to expand... Hahahahahah! mbavu zangu!!
Evelyn Salt said: Mmh huku ni kutuandaa kisaikolojia ili mtupande vichwani, haipo hiyo. Click to expand... Hahahahahah! mbavu zangu!!
Sakayo JF-Expert Member Sep 10, 2015 56,374 161,379 Dec 22, 2015 #63 Huyo mwanamke yuko sayari gani jamani
PesaNdogo JF-Expert Member Jun 19, 2013 1,995 1,291 Dec 22, 2015 #64 Da Pretty said: Na kuna wadhamini wa mada. "Kungwi nimetuma 20,000 njoo utufunde" Hivi ni kweli mtu anatuma? Unafundishwa kuwa mwanamke Click to expand... Wapo wengine watsapp, wanatoa na video za kusisitizia somo. Kila mada wanalipia ada kwa M-pesa ukitaka notes za somo lililopita unalipa ada kubwa zaidi.
Da Pretty said: Na kuna wadhamini wa mada. "Kungwi nimetuma 20,000 njoo utufunde" Hivi ni kweli mtu anatuma? Unafundishwa kuwa mwanamke Click to expand... Wapo wengine watsapp, wanatoa na video za kusisitizia somo. Kila mada wanalipia ada kwa M-pesa ukitaka notes za somo lililopita unalipa ada kubwa zaidi.
nickvalerion2810 Senior Member Mar 31, 2015 112 36 Dec 22, 2015 #65 Nadhani ungetoa lile neno mnyonge ukaweka mnyenyekevu....mnyonge ni mtu anayehitaji kuhurumiwa...ni mtu wa kusaidiwa kama mgonjwa
Nadhani ungetoa lile neno mnyonge ukaweka mnyenyekevu....mnyonge ni mtu anayehitaji kuhurumiwa...ni mtu wa kusaidiwa kama mgonjwa
J jzm-teak JF-Expert Member Jun 23, 2013 1,770 319 Dec 22, 2015 #66 Evelyn Salt said: Ungesema hizo ni sifa za mwanamke boya ningeelewa Click to expand... mwanamke boya ninani?
Evelyn Salt said: Ungesema hizo ni sifa za mwanamke boya ningeelewa Click to expand... mwanamke boya ninani?
Mahondaw JF-Expert Member Apr 9, 2013 63,016 158,415 Dec 22, 2015 #68 Etiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 64,326 115,408 Dec 22, 2015 #69 jzm-teak said: mwanamke boya ninani? Click to expand... Ni mwenye hizo sifa zilizotajwa