Sifa za mwanamke

Jamani mie naamin busara ya kike mungu aliyo waumba nayo in natural.

Kwa hiyo anaye kaidi ni muongo kwani atakuwa ana pretend but ukweli utabaki palepale mwanamke ndivyo jinsi alivyo umbwa.

Achani kujifanya mnaiga au mnadai gender equality mkawa mnakunzana na mungu. Na kumkosoa pia.
 
Kuna watu wanajitiaga ukungwi mjini hapa kutafuta sifa tu....
 
Kwa mafundisho ya dini yangu, unyonge ni moja ya sababu za kutoingia mbinguni. .ufunuo 21:27
 
Kuna watu wanajitiaga ukungwi mjini hapa kutafuta sifa tu....

Ntaanimi makungwi siku nikiwaona naomba wapo kwenye ndoa, kungwi gani anafundisha maisha ya ndoa wakati ye ni kigodoro kigodoro na yeye
 
Mmmmmh! hizi sifa ni kwa mujibu wa chanzo kipi haswaa
 
Ntaanimi makungwi siku nikiwaona naomba wapo kwenye ndoa, kungwi gani anafundisha maisha ya ndoa wakati ye ni kigodoro kigodoro na yeye

ha haa ha
kungwi wa instagram na jamiiforum
 
Mmmmmh! hizi sifa ni kwa mujibu wa chanzo kipi haswaa

Chanzo si huyo mtoa post? Ha ha wewe sio mnyonge...
Kwa mujib wa mtoa mada huna sifa....ha haa
 
Chanzo si huyo mtoa post? Ha ha wewe sio mnyonge...
Kwa mujib wa mtoa mada huna sifa....ha haa

ha ha haa.. unyonge huo vipi?? asituletee upompompo wake
 
Type hiyo ya wanawake haipo

Type hiyo ipo na ndio wanawake wanaoongoza kwa kunyanyaswa. Lkn cha kushangaza ni kuwa wanaume wengi wanapenda wanawake wajeuri na wakorofi na wenye kiburi. Utakuta mwanaume anamwagiwa mitusi na mwanamke lkn anang'ang'ania tu na kuomba msamaha hadi anampigia magoti mwanamke huyo mkorofi. lkn pia wanawake type hiii ya wakorofi wengi wao ndo waliojaaliwa kuwa wazuri na type hiyo ya wapole na wenye upendo na utulivu ni wanawake wa kawaida sana.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…