jiandae kupokea ukoo wao mzima kwa gia ya kuja kusalimia, ndugu akija kusalimia anakata hata miezi.
Nawasifu Kwa uvumilivu na uelewa! Na ni wachapakazi pia. Hawana makuu, shida ni hapo kwenye ndugu kuamia nyumbani kwenu hasa kama unaishi jirani na anakotokea.
Jiandae pia kupikiwa mrenda, chikanda, nswa aka kumbikumbi, mabumunda n.k.
Jiandie pia kwenye mlolongo wa salamu, kwa kifupi ukikutana na baba mkwe inatakiwa usalimie kila kitu ....sahani, bakuli n.k