keimedia.blogspot
Member
- Dec 13, 2013
- 8
- 15
Hahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sifa uliyosahau ni namna ya kumpata na anapatikana wapi?
Hata kupika?Ukimpenda utaona anavyo vyote hapo. Msitusumbue
- anajieshimu
- Msafi
- anayo mahusiano mazuri na wazazi wake sana sana Baba
- Anafanya mazoezi na kula vizuri
- Anapenda watoto
- Sio mbea
- Avuti sigara,bangi,shisha na kunywa pombe
- Sio king'ang'anizi
- Anapendeza muda wote sio tu wakati wa kwenda out
- Kalala na wanaume wachache na anatembea na mtu ambaye wako tu na mahusiano
- anapenda kupika
- anajiamini kuwa yuko bora bila make up
- anasupport malengo yako
- Mcheshi na anajua kuongea na watu wa kila aina
Je sifa gani nimesahau kuongeza?
mwanaume bora ni yupi?Sifa zote hizo anaweza kuwa nazo kama atakua na mwanaume bora
mwanaume bora ni yupi?
Asipompenda ataona hana hata kimoja au sio😅Ukimpenda utaona anavyo vyote hapo. Msitusumbue
Ndio unavyotaka kuwapanga wanaume wenzangu? 😅Sifa zote hizo anaweza kuwa nazo kama atakua na mwanaume bora