Sifa za Mume mwema

Shida ni tafsiri ya kupendwa kwako. Ulinganifu wa mapenzi kwa kazi na mtu ni shida. Kupendwa zaidi ya kazi hakumaanishi mwanaume awe tayari kuacha kazi wewe utakaposema ACHA.

Umeolewa?

hata mchumba sina.....
sijamaanisha kumwambia mtu aache kazi ndo nijue ananipenda kuliko kazi hata hivo hayo yatakuwa sio mapenzi....
aache kazi tutakula dushelele? nimesema siwezi kuusemea moyo wa mtu, i can say ananipenda, ila siwezi nikasema ananipenda kuliko.....!!!!!
 
asante kibweka nitaanza kumwangalia kwanza kama anasifa hizo hata moja wapo asante sana
 

Basi namna utakayompata mchumba/mume wako ndio itakuhakikishia kama anakupenda au lah. Usijaribu kuurubuni moyo wako kwa uyaonayo kwa macho.

Ukiolewa na mcha Mungu huna haja ya kujiuliza kama anakupenda kiasi gani.
 

Inamaanisha nini uume? au ndio uboro? nini!!
 
Basi namna utakayompata mchumba/mume wako ndio itakuhakikishia kama anakupenda au lah. Usijaribu kuurubuni moyo wako kwa uyaonayo kwa macho.

Ukiolewa na mcha Mungu huna haja ya kujiuliza kama anakupenda kiasi gani.

Amen!!!!!!!
unamaanisha wachamungu wanayo hayo malove?
 
Amen!!!!!!!
unamaanisha wachamungu wanayo hayo malove?

Ya kumwaga. You know what, kwa mcha Mungu kumpenda mke, kumtunza na kumheshimu ni agizo kwa hiyo you will have plenty...,BUT, umejiandaa kumpokea mume mwema? Isiwe Mungu anijalie mke mwema halafu mimi nimharibu kwa kumjazia majaribu na makwazo.

Na wewe kuwa mwema, ili ndege wa aina moja waruke pamoja.
 
Inamaanisha nini uume? au ndio uboro? nini!!

Shida ya mwanadamu ni kupenda kuukumbatia upumbavu ili tu sifa zimuendee kwa kuwa watu wengine watamsifu kwa mdomo usio na mipaka. Naamini kabisa umeelewa, ila umejitafutiza nafasi tu ili useme 'uboro'.

Kuna desturi ya mazungumzo inayolingana na kuapa;
walakini isionekane katika urithi wa Yakobo.
Maana hayo yote yawe mbali na wenye haki,
wasije wakagaagaa matopeni mwa dhambi.

Usikizoeze kinywa chako kunena matusi,
kwa maana ndani yake mna maneno ya dhambi.

Kumbuka baba yako na mama yako,
uketipo katika mkutano wa wakuu;
usije ukawa msahaulifu mbele yao,
ukawa mpumbavu kwa sababu ya desturi yako;
mradi utataka kama usingalizaliwa,
na kuilaani siku ya kuzaliwa kwako.

Wala yeye aliyezoea usemi uliofedheheka
hapati adabu siku zote za maisha yake.


Yoshua bin Sira 23: 12-15

Naamini umevuka miaka 14 na unajua unachokiongea.

Shalom!
 

Mkuu biblicana, mimi nauliza hvo kwa sababu nilishawahi kuolewa na mume wangu na alikuwa mwema ila hakuwa na dudu,ndo mana nauliza mapema.
 
Last edited by a moderator:
duuuu..............100% nimetimiza na tena na zaidi! thanks.
 
nahisi umenijibu kinadharia. i like the verses though
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…