error term
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 388
- 624
Amini udhamini wana JamiiForums wa kundi hili wameongezeka mno. Vitu vingine ni virahisi kabisa, vya ku Google au kucheka Wikipedia au hata kuangalia ramani anakuja Jf kufungua thread kuulizia eti Mbeya iko sehemu gani ya nchi?
Teacher vp tenaMsaada wakuu jinsi y kunua LUKU kwenye YOUTUBE[emoji1321]
Amini udhamini wana JamiiForums wa kundi hili wameongezeka mno. Vitu vingine ni virahisi kabisa, vya ku Google au kucheka Wikipedia au hata kuangalia ramani anakuja Jf kufungua thread kuulizia eti Mbeya iko sehemu gani ya nchi?
Ujinga mwingine humu JF ili hoja ipate kick lazima iwe ya kuiponda serikali au CCM! We are not discussing basing on facts.
Haha nina jamaa yangu mmoja alienda nje baada. Ya kumaliza form 6 .miaka ya 2000 hivi.kwangu mi.i huyu ni binadanu mpumbavu kuliko wote niliowahi kuwaona hapa nchini.mfano.anaamini kuwa kutumia internet at wewe huna kumbukumbu. Jamaa anaamini kusoma ni kupoteza muda na kwamba anaweza kujdge jambl kwa hisia tu.huyu bwana ni mpumbavu kwelikweliMtu mjinga mara nyingi huwa mvivu pia.
Mtu mjinga hapendi kujitesa katika kutafuta ukweli wa jambo ila upenda habari za moja kwa moja mfano habar za udaku na mapenzi, hapa utakutana na kundi kubwa la wavivu na wajinga.
Wao wanapenda raha zaidi na sio maarifa ( wema amerudi kwa diamondi, mume wangu anakibamia, natafuta mpenz hizi ni hoja chache ambazo utakuta wajinga wendi maana wanapata raha ya moja kwa moja.
Lakin pia wajinga wengi ni wavivu wa kusoma hata kama atakuta habari azipendazo kama za udaku na mapenzi na zikawa na meneno mengi bila picha anaweza asisome kabisa na akacomment habari bila picha haiogi ( maana yake anapenda zaidi kuona picha na sio kusoma mawazo ya mtu mwingine)
Sasa jiulize wewe upo wapi? Habari zipi unazipenda zaidi kuzichangia humu. Lakini kuweza kujua kuwa watanzania wengi ni wajinga na wavivu basi unaweza chukua muda wako na kuangalia mada zilizo changiwa mara nyingi, au jukwaa lipi linawafuasi wengi.
Ni muda wa kubadilika sana kwa kutumia fora kama hizi kwa kiasi kikubwa katika kuelimishana mambo fikirishi yatakayoungeza ugali na sio kuongeza watoto na wapenzi.
Huo huo ujinga na uvivu ndiyo unanifanya mimi kuingia JF ili nicheke kidogo akili yangu itulie, unasikia mtu anasema fyatueni watoto wengi elimu bure au mnara wa askari pale posta ubadilishwe ili iwekwe sanamu ya diamond tetetetetetete
Nimeshindwa hata kucomment cjui mi ni mvivu au lahDaaah aiseee
Sometime naonaga post humu mpaka nahisi aliepost sio mtu, maana ni post less sana kiasi cha kufikiria tu na kupata ukweli wa jambo.Kuanzisha uzi ishakuwa fashion kwa wengi wetu humu, hata jambo ndogo ambalo anaweza kulitatua mwenyewe anakimbilia kuja kuanzisha uzi huku
Hii inachangia sana mtu kuwa mvivu wa kufikiri juu ya matatizo anayoyapata na kuyapatia ufumbuzi mwenyewe
Hizi ndo point nzito nzitoMsaada wakuu jinsi y kunua LUKU kwenye YOUTUBE[emoji1321]