Sifa za mshabiki wa UKAWA

Sifa za mshabiki wa UKAWA

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Mshabiki wa UKAWA

1.Msomi sana mwenye uelewa wa Dunia.

2.Anajua dunia inaenda wapi.

3.Anajua mgogoro wa Rusia na Marekani ni wa kibiashara na kiuchumi na si aggressiveness over Ukraine.

4.Anajua viongozi wanaficha hela nje ya nchi kwa kujidai wao ni wawekezaji wa kizungu kumbe ni watanzania (ndio maana nchi yetu inaitwa bongo, yaani watu wamekalia wizi tu hawafanyi Kazi)

5.Anajua uagizaji wa bidhaa, Madawa,ving'amuzi,simu,bodaboda,saa,nguo,makochi, samaki,nyama na matunda. Unawapa mataifa ya nje faida kubwa sana ukilinganisha na vimsaada wanavyotupa.

6.Anajua mataifa yanachukua malighafi bila kulipa kodi hata shilling moja ili kufisha siri za ufisadi kwa viongozi.

7.Anajua bila umeme wa uhakika na nafuu hakuna Mapinduzi ya viwanda Tanzania.

8.Anajua ISIS,boko haramu,alshababu ni propaganda tu za mataifa ya magharibi ili wapate mafuta in exchange ya silaha.

9.Anajua kwasasa uchumi wa bahari, I mean usafirishaji wa bidhaa na meli unaendeshwa kwa mtutu wa bunduki.

10.Anajua Tanzania bila ufisadi itaongoza bara la africa kwa uchumi imara kabisa.

11. Trans Africa railway kutoka Dar es salaam to Congo Brazzaville itaifanya Dar es salaam kuwa dubai ya Africa.

12. Anajua kabisa kilimo si mkombozi wa MTANZANIA bali elimu bora ya bei nafuu itakayomwezesha mtanzania kutambua fursa zinazomzunguka.

13.Anajua kabisa watanzania wengi wamesoma lakini hawana exposure.

Ongezeeni nyingine
 
1. Wamechoshwa na mfumo fisadi wa CCM.
2 Wanaoelewa huwezi kusukuma gari wakiwa ndani ya gari (huwezi leta mabadiliko ukiwa ndani ya ccm)

Mabadiliko! Lowasaaaaaa! Lowasa! Mabadilikooooooooo!
 
Mshabiki wa Ukawa
1.Msomi sana mwenye uelewa wa Dunia.
2.Anajua dunia inaenda wapi.
3.Anajua mgogoro wa Rusia na Marekani ni wa kibiashara na kiuchumi na si aggressiveness over Ukraine.
4.Anajua viongozi wanaficha hela nje ya nchi kwa kujidai wao ni wawekezaji wa kizungu kumbe ni watanzania (ndio maana nchi yetu inaitwa bongo, yaani watu wamekalia wizi tu hawafanyi Kazi)
5.Anajua uagizaji wa bidhaa, Madawa,ving'amuzi,simu,bodaboda,saa,nguo,makochi, samaki,nyama na matunda. Unawapa mataifa ya nje faida kubwa sana ukilinganisha na vimsaada wanavyotupa.
6.Anajua mataifa yanachukua malighafi bila kulipa kodi hata shilling moja ili kufisha siri za ufisadi kwa viongozi.
7.Anajua bila umeme wa uhakika na nafuu hakuna Mapinduzi ya viwanda Tanzania.
8.Anajua ISIS,boko haramu,alshababu ni propaganda tu za mataifa ya magharibi ili wapate mafuta ni exchange ya silaha.
9.Anajua kwasasa uchumi wa bahari, I mean usafirishaji wa bidhaa na meli unaendeshwa kwa mtutu wa bunduki 10.Anajua Tanzania bila ufisadi itaongoza bara la africa kwa uchumi imara kabisa.
11. Trans Africa railway kutoka Dar es salaam to Congo Brazzaville utafanya Dar es salaam kuwa dubai ya Africa.
12. Anajua kabisa kilimo si mkombozi wa MTANZANIA bali elimu bora ya bei nafuu itakamwezesha kutambua fursa zinazomzunguka.
13.Anajua kabisa watanzania wengi wamesoma lakini hawana exposure.

14. Wana uwezo mzuri wa kufikiri, lakini wanapenda kufikiriwa na Viongozi wao.
15. Hodari wa kula MATAPISHI YAO.ao
16. Wasomi ambao wanadanganyika kirahisi.
17. Wanauwezo kuwafichua Mafisadi wa vyama vingine, lakini wao wanaunga mkono kuongozwa na Mfalme wa mafisadi.

Hahahahahahaha😂😂😂😂
 
Hahahahahahaha 😂😂😂😂
 
Yote umesema sawa kabisa, lakini kwa kutaka mabadiliko kwa kupitia kwa lowassa hilo ndio nakataa kabisa, Lowassa ndio mmoja wa waliyoyatengeneza hayo matatizo, eti Leo ndio awe tiba?
Sikubali kabisa hilo

Somo halijakukolea unahitaji Darasa
 
Yote umesema sawa kabisa, lakini kwa kutaka mabadiliko kwa kupitia kwa lowassa hilo ndio nakataa kabisa, Lowassa ndio mmoja wa waliyoyatengeneza hayo matatizo, eti Leo ndio awe tiba?
Sikubali kabisa hilo

Usipokubali wewe mke wako au watoto au ndg zako watakubaliana na mabadiliko kupitia Lowassa
 
Yes hiyo ndio demokrasia, wana uhuru maana nchi pia ni yao na wao

Tembea na nyakati usikubali kuachwa nyuma ndo maana selikari iliamua kwa sasa tunahitaji digitali na analogia ikazimwa ni kwakuwa iliona mfumo wa analogia hautaweza kwendana na hali ya kidunia ya sasa. Kalia ccm na Magufuli wako tu
 
Jifunze kuheshimu mawazo ya wengine, na ujifunze kuwa sikila asiyekubaliana na lowassa ni ccm, kama serikali ingekuwa na mawazo kama yako leo ingekuwa hakuna upinzani, wewe kama unaona sawa kwa hilo ni juu yako, lakini huwezi kulazimisha kila mtu afanane mawazo na wewe
 
Back
Top Bottom