Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,400
1. pesaWakuu wasalaam.
Naomba kujuzwa hapa, ni sifa zipi mchepuko/mpango wa kando unafaa kuwa nazo?
Nawasilisha.
duh...kamchepuko kangu hakana la ziada kumzidi waif. mkuu kwa maneno yako inamaana nipige chini huu mchepuko?Anatakiwa awe anamizi mpenz wako ulie nae...kama mchepo wako unazidiwa na mpenzi ulie nae bas ww n useless ...lazia awe anavigezo vya ziada kama mtundu zaid bed na vngne
mchepuko lazma uje na kitu tofauti. ni uzembe mkubwa kua na mchepuko usioleta jipya.duh...kamchepuko kangu hakana la ziada kumzidi waif. mkuu kwa maneno yako inamaana nipige chini huu mchepuko?
Hahahahaaaamchepuko lazma uje na kitu tofauti. ni uzembe mkubwa kua na mchepuko usioleta jipya.
mchepuko uje ndani hlf unalala kama ubao...napiga chini asubuh tu.
Kumbe ndo zao yani vijnaaHahahahaaaa
Naona umeandika kwa ID moja ukasahau ukajijibu kwa ID hiyo hiyo.
Shkamoo JF.
Magu kabana mpaka tunaandika na kujijibuHahahahaaaa
Naona umeandika kwa ID moja ukasahau ukajijibu kwa ID hiyo hiyo.
Shkamoo JF.
Dah, unajua nilikua siamini kama kweli hii michezo Inafanyika humu JF, Doh, huu Ni Utotoje!!!Hahahahaaaa
Naona umeandika kwa ID moja ukasahau ukajijibu kwa ID hiyo hiyo.
Shkamoo JF.
Na awe na msambwanda wa haja....Anatakiwa awe anamizi mpenz wako ulie nae...kama mchepo wako unazidiwa na mpenzi ulie nae bas ww n useless ...lazia awe anavigezo vya ziada kama mtundu zaid bed na vngne
Kaandika kuuliza swali,halafu akaji quote mwenyewe kujijibu. Akasahau kuchange ID.Magu kabana mpaka tunaandika na kujijibu
Kijana umetisha sana. Unaandika na kukujibu kwa ID hiyo hiyo. Hahahahahaduh...kamchepuko kangu hakana la ziada kumzidi waif. mkuu kwa maneno yako inamaana nipige chini huu mchepuko?
mchepuko lazma uje na kitu tofauti. ni uzembe mkubwa kua na mchepuko usioleta jipya.
mchepuko uje ndani hlf unalala kama ubao...napiga chini asubuh tu.
Wakuu wasalaam.
Naomba kujuzwa hapa, ni sifa zipi mchepuko/mpango wa kando unafaa kuwa nazo?
Nawasilisha.
hahahaahahaaaaaMagu kabana mpaka tunaandika na kujijibu