Naona umeogopa ule mtandao wa simu au vipi sist.
Ha ha haaaaaa! Sifa namba 7. ........If you accidentally break utensils made of glass she reacts with "Vunja Yote Umalize"
ahahaaa ameisema bwana...wamama wetu bwamama wetu bwana....dah i wish ningekuwa na mama kwa kweli dah dunia hii? sijui kwanini sikufa mimiVipi kuhusu ile ya "Hivi vyombo ni vya wageni"
je kula pilau kwa jirani? ahaaaa pilau la zamani lilikuwa adimu mtu unalifata hata mtaa wa pili.. mtaani kwetu ulikuwa ukionekana na watoto wenzako umetumwa mchele loh siku hiyo wanakuja kucheza kwenu hadi wale ahaaaaa! basi mimi nilikuwa nawaletea noma ila kuna makauzu wanabanana hadi kieleweke ...kwi kwi kwi ! rip my sweet mamy!Ha ha haaaaaa! Sifa namba 7. ........If you accidentally break utensils made of glass she reacts with "Vunja Yote Umalize"
na namba 17. ......... when you lose money and she says "shika hizi nyingine pia ukapoteze!"Zimenikumbashambali! Lol!
je kula pilau kwa jirani? ahaaaa pilau la zamani lilikuwa adimu mtu unalifata hata mtaa wa pili.. mtaani kwetu ulikuwa ukionekana na watoto wenzako umetumwa mchele loh siku hiyo wanakuja kucheza kwenu hadi wale ahaaaaa! basi mimi nilikuwa nawaletea noma ila kuna makauzu wanabanana hadi kieleweke ...kwi kwi kwi ! rip my sweet mamy!Ha ha haaaaaa! Sifa namba 7. ........If you accidentally break utensils made of glass she reacts with "Vunja Yote Umalize"
na namba 17. ......... when you lose money and she says shika hizi nyingine pia ukapoteze!"Zimenikumbashambali! Lol!
Smile usinikumbushe zamani hizo za watoto kupenda wali. Ha ha haaaa! Mama akipika wali watoto hamlazimishwi kwenda kuoga. Sio vitoto vyetu vya siku hizi vya kulazimisha kula. Kikiona wali kinataka chips kikiona chips kinakuambia kinataka burger za Bonjour!je kula pilau kwa jirani? ahaaaa pilau la zamani lilikuwa adimu mtu unalifata hata mtaa wa pili.. mtaani kwetu ulikuwa ukionekana na watoto wenzako umetumwa mchele loh siku hiyo wanakuja kucheza kwenu hadi wale ahaaaaa! basi mimi nilikuwa nawaletea noma ila kuna makauzu wanabanana hadi kieleweke ...kwi kwi kwi ! rip my sweet mamy!
ahahaaa ameisema bwana...wamama wetu bwamama wetu bwana....dah i wish ningekuwa na mama kwa kweli dah dunia hii? sijui kwanini sikufa mimi
ahaaaa madogo ya digital ! enzi zetu ilikuwa haibaki hata punje moja kwenye sahani! sema hata hivo pilau limeshuka thamani bwana ..pilau la siku hizi unakuta linapikwa hadi jtatu bwana!enzi zetu kusikia harufu ya pilau ilikuwa ni kwa shughuli maalum..na lina watu special wa kulipika ! soi sasa kila mtu anamka leo napika pilau pilau linapikwa usiku? damn it!cc MentorSmile usinikumbushe zamani hizo za watoto kupenda wali. Ha ha haaaa! Mama akipika wali watoto hamlazimishwi kwenda kuoga. Sio vitoto vyetu vya siku hizi vya kulazimisha kula. Kikiona wali kinataka chips kikiona chips kinakuambia kinataka burger za Bonjour!
acha tu my best! ishakula kwangu hivo! majondhiiiiiiiii wewe! thikia tu!Ooh kumbe kasema...
Mungu ndiye anayepanga nani aje dunia wakati gani, na amuondoe duniani wakati upi...
Safari ya mama ilitimia na nafsi yake kurejea kwake aliyeiumba, yaani muda uliopangwa kwake ulifika...
Usiuzunike sana moyoni mwako, zaidi muombe Mungu akupe faraja na akusaidie nawe utimize uliopangiwa kutimiza...
My dear, jivunie vile mama Smile alivyokutunza na wewe kuwa hivyo ulivyo hii leo!!!
acha tu my best! ishakula kwangu hivo! majondhiiiiiiiii wewe! thikia tu!
ahaaaa madogo ya digital ! enzi zetu ilikuwa haibaki hata punje moja kwenye sahani! sema hata hivo pilau limeshuka thamani bwana ..pilau la siku hizi unakuta linapikwa hadi jtatu bwana!enzi zetu kusikia harufu ya pilau ilikuwa ni kwa shughuli maalum..na lina watu special wa kulipika ! soi sasa kila mtu anamka leo napika pilau pilau linapikwa usiku? damn it!cc Mentor
ahahaaa nimekuita kwa sababu sometimes huwa nahisi tuna vitu flani in common bwana...si unaona ulivochambua mambo ya pilau?
Mate Smile, umenifurahisha sana. Umenikumbusha kaka yangu, Frank, alikuwa akipita mahali akanusa harufu ya pilau lazima amuulize mama, "Mama, kwa hawa leo kuna kirimasi? (akimaanisha Christmas)"
Nashangaa siku hizi pilau linapikwa bila kutwanga vitunguu saumu eti! Halitengenezewi ule mchuzi mchafu ule...daah. Kweli dem days were good. Yani siku ya pilau ni linaanza kupikwa mkitoka kanisani (sunday school) hawa wanapembua mchele, wale wanamenya vitunguu, Mentor hapa nangojea na ki-mchi changu tayari kutwanga yani natwanga mpaka mama ananiambia atanipa firigisi (firigisi lilikuwa linapewa mtoto aliyefanya kazi zaidi wakati wa mapishi).
BTW, Smile, hii thread inahusu nini kwani maana umenibakia huku katikati hata sijui maudhui yake.