gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,831
- 18,529
Mbona tone imebadilika imekua ya kipole!?..umeona alivyo mwamba, state attorney wa wizara ya katiba na Sheria 2000-01,ni nani?All in all hana sifa, si wakili.Hajawahi faulu mtihani wa uwakili popote pale duniani.Halafu acha ukilaza. NIMESOMA POTE HAPO HAKUNA SEHEMU INASOMA KUWA ALIWAHI KUFANYA KAZI OFFICE YA MWANASHERIA KABLA YA KWENDA AVIATION
Si kweli,kumbe source yako ni hii? Si kweli ninakuambia again huo mwaka alioandika hapo 2000 mpaka 2001 hakuwepo office ya mwanasheria mkuu.Muongo yule.Kishoka yule.Mbona tone imebadilika imekua ya kipole!?..umeona alivyo mwamba, state attorney wa wizara ya katiba na Sheria 2000-01,ni nani?
Kishoka na kahdhiri udsm,mzumbe, Egypt.. alikua state attorney wa wizara ya katiba na Sheria 2000-01,ikawaje kishoka awe state attorney wa wizara?..mpunguze chuki na majunguSi kweli,kumbe source yako ni hii? Si kweli ninakuambia again huo mwaka alioandika hapo 2000 mpaka 2001 hakuwepo office ya mwanasheria mkuu.Muongo yule.Kishoka yule.
Hii si reply ya kishabiki, genuinely naomba kueleweshwa Robot la MatopeKulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), sifa za mtu anayestahili kuteuliwa kuwa Attorney General (Mwanasheria Mkuu wa Serikali) zimeelezwa katika Ibara ya 59(3).
Sifa za kuwa Attorney General wa Tanzania
Kwa mujibu wa Katiba hiyo:
1. Lazima awe raia wa Tanzania.
Mtu huyo ni lazima awe raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzaliwa au kwa kupewa uraia kwa mujibu wa sheria.
2. Lazima awe ni wakili mwenye sifa.
Mtu huyo ni lazima awe amehitimu taaluma ya sheria na ameandikishwa kuwa wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
3. Uzoefu wa kutosha katika taaluma ya sheria.
Katiba inataka awe amefanya kazi kama wakili kwa muda usiopungua miaka 10 tangu aandikishwe kama wakili wa Mahakama Kuu.
4. Kuteuliwa na Rais.
Attorney General huteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mujibu wa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba.
NB: Sometimes N is silent in lines like T in listen
Mbaya zaid hata wa kumshauri hakuna?naamini wapo ila lila mtu kaufyata kutokana na tabia na huyu kakaaa kimaslahi zaidi.Hamza Johari si wakili. Halafu kasomea huko Ukraine. Kwanza inawezekana cheti cha kufoji. Ila si wakili ndo maana alimuuliza DP kama wana agreement na USA za kuweza kumleta Mange Tanzania. Inshort mwanasheria mkuu hajui sheria na katika ya Tanzania. Aibu naona mimi ,ndo taabu ya kuwa na Rais la Saba felia.
Bora angemteua Nassoro KatugaHamza Johari si wakili. Halafu kasomea huko Ukraine. Kwanza inawezekana cheti cha kufoji. Ila si wakili ndo maana alimuuliza DP kama wana agreement na USA za kuweza kumleta Mange Tanzania. Inshort mwanasheria mkuu hajui sheria na katika ya Tanzania. Aibu naona mimi ,ndo taabu ya kuwa na Rais la Saba felia.
Na kuwa chawa mtiifu.Sifa kuu ni kuwa Kada wa Chama
Sasa huyu mwanasheria wa mchongo aliyeteuliwa juzi mbona anaonekana boya?Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), sifa za mtu anayestahili kuteuliwa kuwa Attorney General (Mwanasheria Mkuu wa Serikali) zimeelezwa katika Ibara ya 59(3).
Sifa za kuwa Attorney General wa Tanzania
Kwa mujibu wa Katiba hiyo:
1. Lazima awe raia wa Tanzania.
Mtu huyo ni lazima awe raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzaliwa au kwa kupewa uraia kwa mujibu wa sheria.
2. Lazima awe ni wakili mwenye sifa.
Mtu huyo ni lazima awe amehitimu taaluma ya sheria na ameandikishwa kuwa wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
3. Uzoefu wa kutosha katika taaluma ya sheria.
Katiba inataka awe amefanya kazi kama wakili kwa muda usiopungua miaka 10 tangu aandikishwe kama wakili wa Mahakama Kuu.
4. Kuteuliwa na Rais.
Attorney General huteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mujibu wa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba.
NB: Sometimes N is silent in lines like T in listen
ππππHamza Johari si wakili. Halafu kasomea huko Ukraine. Kwanza inawezekana cheti cha kufoji. Ila si wakili ndo maana alimuuliza DP kama wana agreement na USA za kuweza kumleta Mange Tanzania. Inshort mwanasheria mkuu hajui sheria na katika ya Tanzania. Aibu naona mimi ,ndo taabu ya kuwa na Rais la Saba felia.