SIFA ZA KUSOMA ELIMU MAALUM

robby

New Member
Mar 1, 2011
2
0
Sifa zipi zihahijika ili mtu asome kozi ya higher diploma in special needs education un geography. Kwa anayefahamu anijuze
 
hiyo higher diploma inatolewa patandi teachers college vigezo lazima uwe na principle pass mbili za advance
 
UWEZ SOMA DIPLOMA HATA UWE NA AAAAAAA LAZIMA UANZIE CERT LABDA UWE NA CHET CHA NTA LEVEL4 KUANZIA GPA2.0
HVYO NDIVYO VIGEZO NILIVYO VIONA KTK GUIDEBOOK YAO
Diploma ya accountancy TIA wanasema uwe na principal pass moja na subsidary moja ila hawajaandika ni masomo gan yanatakiw
 
mwnangu ni kiziwi.form iv amepata alama zifuatazo CIV D.HIST D.GEO D.KISW C.ENGL C.BIO D.B/MATH F anapenda kuwa mwalimu.je kwa alama hizo anaweza kupata chuo akasomea ualimu? nitajie jina la chuo kama kipo
 
Hawezi kusomea Ualimu....Sifa za kusomea certificate ya Ualimu (Grade A) ni Division 1 mpaka 3
 
Back
Top Bottom