Erick tryphone
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 387
- 84
Jamani kwa anae jua anieleze sifa za kujiunga na uwalimu ngazi ya cheti na dilploma
ume umefaulu masomo yako.kama umefeli tafuta tubu na spana kaa road ziba pancha baiskeli.
subiria subiria mkuu,unaweza kubahatisha kuchaguliwa A level,kuwa mpole,ingawa kwa pass mark yako certificate unaenda bila shidahistory B
kiswahili D
georaphy C
english D
bilogy D
civics D
B/math F
history B
kiswahili D
georaphy C
english D
bilogy D
civics D
B/math F
matokeo mazur ualimu utapata coz wanataka div 4 ya 27 mwishohistory B
kiswahili D
georaphy C
english D
bilogy D
civics D
B/math F