Mkuu sidhani kama kuna tofauti kwani wanapojiandikisha kufanya mtihani wanatakiwa wawe na ufaulu wa chini uliowekwa kwenye hivi vigezo na hapo haijalishi kama uko private au serikalini.Sifa za kujiunga na form five ni zipi?
Je ni sawa private na public schools?
Nisaidie maana kuna mtu ana d tupu anawenda private school kufanya interview ya kujiunga na form five.
asante, hizi shule za private wanakula hela za wazai bure wakijua fika kuwa the pupil does not qualify whatsoever!Mkuu sidhani kama kuna tofauti kwani wanapojiandikisha kufanya mtihani wanatakiwa wawe na ufaulu wa chini uliowekwa kwenye hivi vigezo na hapo haijalishi kama uko private au serikalini.
Kama anaona ni lazima aende advance the best option ni kurudia mtihani apate vigezo vinavyotakiwa.asante, hizi shule za private wanakula hela za wazai bure wakijua fika kuwa the pupil does not qualify whatsoever!