Samahani wakuu nilikuwa napitia website ya NACTE kuangalia sifa za wanaotakiwa kujiunga na hii kozi. Naona maelekezo yote yanaonyesha kuwa anatakiwa mtu aliyemaliza Form four. Sasa kuna hawa waliomaliza form six nao inakuwaje?

Yaaaaah kuna rafiki angu alipata form six 3 ya points 16. Diploma akapt first class now yupo Muhimbili. Kuna mwngne alipt second class upper na alikuwa na 3 ya 15 PCB yupo bugando. Advance INA faida mbele, huwezi linganishwa na Amby hajasoma wakt wa kuapply. AMO huwezi soma km huna CO, sifa zake ni usome Co... Maana muda wake wa kusoma ni mchache miaka miwili kasoro
Kama Kuna mwanafunzi ana sifa za kujiunga na diploma ya Clinical Medicine au pharmacy na unahitaji kwa mwaka huu nakuomba PM nikupe utaratibu utakaokusaidia kupata ufadhili ikiwa utakidhi vigezo. Naomba awe mwanafunzi mwenyewe atakayekuja tafadhali.
Kwa mtu ambae ajapitia form six.ye kamaliza form four to clinical officer inakuwaje kwake katika kuingia degree.harusiwi kuomba na mkopo hapati au ????.
Kama Kuna mwanafunzi ana sifa za kujiunga na diploma ya Clinical Medicine au pharmacy na unahitaji kwa mwaka huu nakuomba PM nikupe utaratibu utakaokusaidia kupata ufadhili ikiwa utakidhi vigezo. Naomba awe mwanafunzi mwenyewe atakayekuja tafadhali.
Naomba kuuliza ada ya kozo hizi ngazi ya diploma,1,diploma of clinicalmedicine2,diploma ya pharmacetical science 3,diploma ya radiation therapy technology ngazi ya diploma ambayo ni diagnostic rdiology4,diploma ya medical laboratory