Tiology Katete
Member
- Nov 16, 2022
- 37
- 23
hauna sifa mkuu, kama una three ya f4, omba grade a, kisha dip, ndo unapata sifa ya digr ya ualimu wa biashara na uhasibu.Hapana chiefs sio kazi ya laana coz ndo imesababisha nifke hapa nilipo,, tuachane na hilo najua ni utani, vp nina sifa ya kusoma kozi hiyo kwa sifa zangu???
Omba tu utachaguliwa usiogope hapa wadau watakutishaHabari wana jamvi,
Mimi nina Diploma ya Uhasibu nilihitaji panapo majaliwa niendelee na masomo ya chuo kikuu kwa kozi ya BACHELOR OF EDUCATION IN COMMERCE AND ACCOUNTING.
Je kwa diploma yangu nina sifa za kujiunga kozi hiyo.
Aise nikikubaliwa itakua unyama sanaOmba tu utachaguliwa usiogope hapa wadau watakutisha
Hiyo diploma utakubaliwa tu
Kama huna form six kwa ualimu wa sekondari usahau.Lakini sina form six nilipitia chet then diploma bado nina sifa ??
Kwan had niwe na pass ngap ndo nitajiunga na masomo ya ualimu chuo kikuuHajawaambia hiko cheti Cha o level kina pass ngapi?
Unatakiwa angalau uwe na pass 4 ndio Ujiunge na masomo ya shahada ya kwanza.Kwan had niwe na pass ngap ndo nitajiunga na masomo ya ualimu chuo kikuu
Hahahah ndugu nina CIVICS D, HISTORY C, GEO D, KISWAHIL D, BIO D, PYHSICS F, ENGLISH D, CHEMIA F, MATH FUnatakiwa angalau uwe na pass 4 ndio Ujiunge na masomo ya shahada ya kwanza.
Wewe una pass ngapi?
Maana unakuta mtu ana diploma ila ana pass Moja tu.
Dhumuni langu ni kujiunga bachelor. Of education in Commerce and accounting je kwa sifa hizo nitachaguliwa kweli nikiomba???Unatakiwa angalau uwe na pass 4 ndio Ujiunge na masomo ya shahada ya kwanza.
Wewe una pass ngapi?
Maana unakuta mtu ana diploma ila ana pass Moja tu.
Una gpa ya ngapi?Dhumuni langu ni kujiunga bachelor. Of education in Commerce and accounting je kwa sifa hizo nitachaguliwa kweli nikiomba???
Nina GPA Ya 3.8Una gpa ya ngapi?
Ila nadhani huna sifa kwa sababu Hesabu una Mswaki.
Nenda kalime
Tuma humu cheti chako Cha form four, certificate na hiyo diploma ili tujiridhishe isije kufurahisha genge[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nina GPA Ya 3.8
Nipe namba ako ya wasap nikutumieTuma humu cheti chako Cha form four, certificate na hiyo diploma ili tujiridhishe isije kufurahisha genge[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pia ntakutumia kila aina ya cheti ambacho na miliki make umekua mbishi so poaTuma humu cheti chako Cha form four, certificate na hiyo diploma ili tujiridhishe isije kufurahisha genge[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Siyo kweli.Kama huna form six kwa ualimu wa sekondari usahau.