SIFA ZA KILA NCHI

mwanike wa ukaya

Senior Member
Feb 3, 2017
115
78
Marekani-siasa,muziki,teknolojia na maendeleo

Uingereza-mpira,masumbwi,starehe

China-kuzaliana,teknolojia,maendeleo

Japan-maendeleo,teknolojia, viwanda

Tanzania-sex,uoga,uzembe,ulalamishi,majungu,kiswahili kingi

Wajuzi ntapenda muongezee hapa
Nawasilisha.
 
Ngoja niongezee kama ulivyosema

Marekani:
ushoga, uonevu, ushetani, uporaji wa mali kwa nchi changa, mauaji ya viongozi wa mataifa mbalimbali, kuvuruga amani duniani n.k

Uingereza :
ushoga, walevi, kibaraka wa marekani, ukoloni, ubaguzi wa rangi, uporaji wa mali n.k

China :
ujangili, kuzaliana hovyo, vitu feki, wakwepaji kodi, watoaji rushwa sana n.k

Tanzania :
kuna vivutio vingi vya utalii, kuna maeneo mengi ya kilimo, kuna amani, watu wake wakarimu, ni nchi yenye isiyo na ubaguzi, ni nchi yenye mlima mrefu kuliko yote afrika, ni nchi iliyopigania uhuru wa nchi zingine afrika, n.k
 
Marekani-siasa,muziki,teknolojia na maendeleo

Uingereza-mpira,masumbwi,starehe

China-kuzaliana,teknolojia,maendeleo

Japan-maendeleo,teknolojia, viwanda

Tanzania-sex,uoga,uzembe,ulalamishi,majungu,kiswahili kingi

Wajuzi ntapenda muongezee hapa
Nawasilisha.
Mkuu Tanzania...SEX tumesingiziwa..!! Mbona tuna idadi ndogo ya WATU...!?
 
Back
Top Bottom