Ninahitaji sifa za kijinga tu,kama hujui kwanini umeongeza kb kwenye huu uzi? Ungeacha tu kukomenti chochote wala nisingehitaji kukuuliza kwa nini haujafanya vile.
Pokea sifa za kijinga Sasa. Ukishatupia Uzi hapa na ukaruhusiwa na mods basi unakuwa sio wa kwako Tena bali wa kila member, Hapo Kuna wakina Mimi tutakaoona itakuwa ni sifa ya kijinga kupita bila kucomment.
Mkulu wako ni nani? Kwenye huu uzi umeona popote nimetaja neno Mkulu wako? Nioneshe nami nione basi rafiki? Kuna neno mkulu kwenye hayo maandishi yangu?
Aaaah....wewe ndiye umeiona hivyo? Sijamwona yeyote mjinga.Lakini ili uuone ujinga wa mtu inakupasa wewe uwe mjinga zaidi yake.Mimi ninazungumzia sifa za kijinga siyo mtu kuwa mjinga.umenipata?
Mkulu wako ni nani? Kwenye huu uzi umeona popote nimetaja neno Mkulu wako? Nioneshe nami nione basi rafiki? Kuna neno mkulu kwenye hayo maandishi yangu?