MANYORI Jr
JF-Expert Member
- Mar 25, 2012
- 462
- 343
Aaaah....wewe ndiye umeiona hivyo? Sijamwona yeyote mjinga.Lakini ili uuone ujinga wa mtu inakupasa wewe uwe mjinga zaidi yake.Mimi ninazungumzia sifa za kijinga siyo mtu kuwa mjinga.umenipata?____Sifa za kijinga Ni pale wewe mtoa Uzi unapojiona una akiri kuliko huyu unayemuona mjinga kumbe we ndo poyoyo.______
Mleta uzi anaweza akawa anajiona ana "AKIRI". Je wewe unajiona una Akili kuliko mwenye sifa za kijinga?____Sifa za kijinga Ni pale wewe mtoa Uzi unapojiona una akiri kuliko huyu unayemuona mjinga kumbe we ndo poyoyo.______
Hiyo nayo ni sifa ya kijinga?Zimbabwe panakuhusu sio bure wewe.....!
Sijui.Mleta uzi anaweza akawa anajiona ana "AKIRI". Je wewe unajiona una Akili kuliko mwenye sifa za kijinga?
Ulichoandika ni nini sasa...sifa za kijinga?Sijui.
Sifa za kijinga ni kuniuliza nimeandika nini wakati umeona nimesema SIJUI.Ulichoandika ni nini sasa...sifa za kijinga?
Kufanya nchi kama timu ya mpira wajinga wachache mnashabikia kila kitu____Sifa za kijinga Ni pale wewe mtoa Uzi unapojiona una akiri kuliko huyu unayemuona mjinga kumbe we ndo poyoyo.______
We jamaa unasifa za kijinga Sana zaidi ya sana____Sifa za kijinga Ni pale wewe mtoa Uzi unapojiona una akiri kuliko huyu unayemuona mjinga kumbe we ndo poyoyo.______
Dah [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]We jamaa unasifa za kijinga Sana zaidi ya sana
[emoji23][emoji23] mjinga hawezi kuelewa hiiMleta uzi anaweza akawa anajiona ana "AKIRI". Je wewe unajiona una Akili kuliko mwenye sifa za kijinga?
Ona Sasa unavyoendelea kua na sifa za kijngaDah [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Hapa nimevamia Uzi wa vijana wa bavicha nini!!!!!!!!!!!!!
Kajifunze kiswahili fasaha wewe akiri ndo nini? Usikute umemaliza Chuo kabisa lakini kiswahili kinakushinda____Sifa za kijinga Ni pale wewe mtoa Uzi unapojiona una akiri kuliko huyu unayemuona mjinga kumbe we ndo poyoyo.______
Hakuna kitu kama hich😵ndoa fikra mgando na utakuwa umefunguliwa na vyote.Dah [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Hapa nimevamia Uzi wa vijana wa bavicha nini!!!!!!!!!!!!!
Ninahitaji sifa za kijinga tu,kama hujui kwanini umeongeza kb kwenye huu uzi? Ungeacha tu kukomenti chochote wala nisingehitaji kukuuliza kwa nini haujafanya vile.Sifa za kijinga ni kuniuliza nimeandika nini wakati umeona nimesema SIJUI.