Sifa za husband material hizi hapa

Labda wakuchora anaweza kua na sifa zoote hizo.
 
Mwanamme wa namna hiyo ata kama yupo basi hataweza kukutongoza .itabidi wewe mwanamke ujitongozeshe na akishakuoa ni wew ambaye kila siku utakuwa unakumbushia sex kitu ambacho wengi hamthubutu
 
mademu wenyew nyie magubegube afu mnataka husband material....lol
 
Me nasbiria sifa za wife material tu,maana kwa husband umechambua kweli kweli
 
Ni kweli kabisa lakini ndo hawapatikani labda yesu arudi waliopo ni majanga tu
 
Duuu.. hiyo namba 3 labda uende kwa mtoto wa Mkuu seth wa escrow au mujkuu wa lugemalila....awe anakupa walau chenji za escrow.
 
kama wanapenda kupigiwa simu at least three times a day, mbona yupo ukimpigia hapokei?
 
hizo sifa awe nazo baadhi sio zote,akiwa nazo zote huo ni msukule tena sio mume......mawazo Yang tyu
 

Unyenyekevu ndo nmekosa hapo
 
wanaume dizaini hiyo hawapati wachumba these days

wanawake wanataka sex kwanza ili ajue yaliyomo yamo au la

wengi wanakunywa pombe....na wengine wanavuta hadi bangi these days

wanawake wengi nyumba ya ibada ni siku ya kuolewa au kufa kuna msiba

Hahaaaaa.....
 
namba mbili " 2"
Labda enzi za Mussa, petro,yakobo! sio kizazi hichi cha Jk.com
 
Tabby I like this👉👉Fedha ni matokeo, anaweza asiwe na fedha za kukupa mara kwa mara lakini akakupa moyo wake. Kipi cha thamani? Kumbuka fedha zinaweza kuwa za msimu lakini kama kuna mapenzi, hakuna matata.🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…