Sifa za husband material hizi hapa

hahhah mtatengeneza wa kwenu.... wa hivyo kumpata labda upitie kwa sangoma!!!!
 
Zinduna, ndoa bila kumatch haipo. Ulichokiandika ni kwa mtu mwenye sifa hizo na anayependa vile.

Mwanamke vinyongo na visasi hadi diaries za miaka kumi una review. Kila likitokea jambo dogo unaanza kuorodhesha matukio unadhani hata ukimpata mwanamme mwenye kusamehe ataweza? Andika labda mvumilivu sana.

Wewe mwanamama huna time na watoto. unaacha mtoto kwa jirani unaishia kwenye vigodoro, baba anakuta watoto wananjaa kamasi hadi zimekaukia mashavuni, wamejikunyata hata wa kuwavika sweta hayupo, wanakula ukoko kwenye sufuria, halafu unataka mwanamme anayependa watoto, mtaishi kweli?

Huna hofu ya Mungu hupati mwanamme mwenye hofu ya Mungu kwa sababu atakutesa kwa matamanio yake na wewe utamtesa kwa ushetani wako na mwihso wa siku, hamtaweza.

Mwanamme asiyekunywa pombe wala kuvuta sigara hawezi kuishi na mke anayetumia. Atakuona gumegume na mwisho atasurrender kwa vile hayo si mazingira yake.

Fedha ni matokeo, anaweza asiwe na fedha za kukupa mara kwa mara lakini akakupa moyo wake. Kipi cha thamani? Kumbuka fedha zinaweza kuwa za msimu lakini kama kuna mapenzi, hakuna matata.

Unatamani mwanamme asiye party wala haendi club, basi uwe na interests kama zake. vinginevyo wewe kama ni wa kwenye bar, usitegemee msichana wa kanisani, kwa sababu mtakuwa na complicated couple life ambayo haitadumu.

By the way Zinduna, ujua mapenzi si pesa na yanadumu sana kama wahusika watakuwa na uwezo wa ku complement each other without complications.





 
Ni ngumu kumpata mwanamme kama huyu. Ukiwa unamtafuta mwanamme kama huyu basi ni sawa na kujenga magorofa hewani
 
namba nne na tano umekosea...ushaniudhi kwanza,sifa zote zilikuwa zinanihusu
 
sasa baadae akibadilika unafanyaje.....akianza kuwa mlevi....anavuta bangi siyo sigara.....na mengineyo.......
 

Correct!! :thumbup:
 
Tabby upo sahihi, huwezi kuwa na sifa tofauti ukataraja kupata manaume mwenye sifa hizo, lazima kuwe na kitu kinachoitwa chemistry
 
Last edited by a moderator:
nyie kabla ya kuoa mlikuwa na sifa kama hizo?
 
Haa haaa interesting...nina sifa zote tajwa hapo juu..bt till now cjapata ninayemuhitaj!!!
 
Kwani Shida ya kuoa anayo nani...we mtu nilikaaga nae 9 years...na vituko juu namfanyia lakini yeye kutwa kuleta vilio na uchuro..ooohh sikununu ataki kunioa ananichezea tu..nakuchezea umekuwa mdoli uo...eti unanipanua tu na kunimaliza utamu wote...ala kimekuwa kifutio cha penseli mpaka nkimalize....
Yaani wanaume hatuitaji mbwe mbwe ili kuoa...izo ni ndoto za linacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…