Ni kweli mkuu lkn Bado kaukabila bongo kapo sana. Kuna kabila Bado zinasumbua ukioa au ukiingia nazo kwenye mahusiano. Mfano wachaga aise ni wanapenda pesa,nilikua na mpenzi wangu wa kichaga,akiamuka asubuhi anawaza pesa tu. Unampa pesa leo baada ya masaa machache tu amekwisha sahau, anaomba nyingine.
Inategemea unaoa wa wapi aliye kulia kijijini au mjini? wa kijijini kubali yafuatayo ndugu na jamaa zake kuhamia kwako, uwezekano wa kutembea na mdogo au dada mtu ni mkubwa sana na unaweza kuwaoa wote wawili