Jiandae kwa
1. Kununua shamba
2. Kufuga kondoo na ng'ombe
Ukifanya hayo utamfaidi Samburaa.
Ila ujue ni
Wakorofi ,
Wabishi,
Can Take A Bullet for You,
Fight by ur side mpaka pumzi ya mwisho, ukimzingua haoni hatari kurudi kwao chaap (Kwan njichirooo)
Mashemeji kama ni wa Sing'isi lazima uwe mpole
Wanajua kugegedana (sema hakuna foreplay)
Unaoa kijiji gani gani bwana.