sifa za baadhi ya mikoa ya TANZANIA

Fruit

Senior Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
193
Reaction score
54
1. Dar es salaam - utapeli
2. Arusha - heka heka
3. Mbeya - matukio
4. Tanga - majini
5. Dodoma - ombaomba
6. Mwanza - fujo
7. Kagera - misifa
8. Rukwa - uchawi
9. Kilimanjaro - ubahili
10. Mara - ukatili
11. Kigoma - ubishi
12. mtwara - umaskini
13. Ruvuma - Ugoni
14. Singida - upole
15. Tabora - majungu
16. Shinyanga - miujiza
17. Morogoro = starehe

Je wewe ni wa mkoa gani?
 
Kwani Tanzania ina mikoa 17 tu?, au mikoa mingine isiyokuwepo hapo si ya Tanzania?
 
Dar es salaam - utapeli
2. Arusha - heka heka
3. Mbeya - matukio
4. Tanga - majini
5. Dodoma - ombaomba
6. Mwanza - fujo
7. Kagera - misifa
8. Rukwa - uchawi
9. Kilimanjaro - ubahili
10. Mara - ukatili
11. Kigoma - ubishi
12. mtwara - umaskini
13. Ruvuma - Ugoni
14. Singida - upole
15. Tabora - majungu
16. Shinyanga - miujiza
17. Morogoro = starehe

Je wewe ni wa mkoa gani? mimi nipo mkoa huo huo unaoitwa gani!
 
we utakua ndg yake mpoki, mbona hujataja mkoa wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…