Rubbish, takataka! by TLWadau nimeufuatilia utendaji kazi wa Rais Magufuli nimebaini ana sifa maalum zifuatazo:
1. Hana Uchama bali uchapakazi tu.
2. Ni mzalendo
3. Hana ujomba wala ubabu kwenye kazi
4. Ana lengo moja tu la kudiscipline.
5. Ana uchungu na rasilimali za nchi
6. Akisema anamaanisha.
7.Hatabiriki
8. Amedhamiria kushughulika na mifupa ilomshinda fisi
9.Haamini katika kushindwa
10. Anashaurika ukimshauri vya maana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rubbish, takataka! by TL
Hahahaha haki ya Mola wangu! JF acha tu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe unataka kuona sifa za Lowasa
1. Ni fisadi papa
2. Ana uchu wa madaraka
3. Afya haimruhusu kuwa Raisi
4. Amezeeka
5. Amenunua chadema
6. Ana ukanda
Upo sawa 100%
Huyo ndio Rais wetu
Rubbish, takataka! by TL[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe unataka kuona sifa za Lowasa
1. Ni fisadi papa
2. Ana uchu wa madaraka
3. Afya haimruhusu kuwa Raisi
4. Amezeeka
5. Amenunua chadema
6. Ana ukanda
Lowasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe unataka kuona sifa za Lowasa
1. Ni fisadi papa
2. Ana uchu wa madaraka
3. Afya haimruhusu kuwa Raisi
4. Amezeeka
5. Amenunua chadema
6. Ana ukanda
kwa hivyo hata kama anao uwezo asipewe nafasi kwakuwa tu ana undugu na magu??Hiyo no 3 hana ujomba ni Rubbish kabisa..
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bw Dotto James ni mtoto wa dada yake kabisa..
Acha kujiacha mtupu kwa kuandika upuuzi.
Full of RubbishWadau nimeufuatilia utendaji kazi wa Rais Magufuli nimebaini ana sifa maalum zifuatazo:
1. Hana Uchama bali uchapakazi tu.
2. Ni mzalendo
3. Hana ujomba wala ubabu kwenye kazi
4. Ana lengo moja tu la kudiscipline.
5. Ana uchungu na rasilimali za nchi
6. Akisema anamaanisha.
7.Hatabiriki
8. Amedhamiria kushughulika na mifupa ilomshinda fisi
9.Haamini katika kushindwa
10. Anashaurika ukimshauri vya maana.
MJENGA, naomba nikuulize swali moja, toka Magufuli aingie madarakani, je umewahi kuukosoa utendaji wake hata mara moja? Kama umewahi kufanya hivyo naomba nijue jambo lenyewe lilihusu nini. Nina hamu sana ya kujibu thread uliyoianzisha hivyo nakupa fursa hii niweze kujua pa kuanzia. Kwa tahadhari tu kumbuka JF inatunza kumbukumbu.Wadau nimeufuatilia utendaji kazi wa Rais Magufuli nimebaini ana sifa maalum zifuatazo:
Inamaana ndugu zake hawastahili kuwa ktk serikali?Hiyo no 3 hana ujomba ni Rubbish kabisa..
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bw Dotto James ni mtoto wa dada yake kabisa..
Acha kujiacha mtupu kwa kuandika upuuzi.
11.Anajua kila kituWadau nimeufuatilia utendaji kazi wa Rais Magufuli nimebaini ana sifa maalum zifuatazo:
1. Hana Uchama bali uchapakazi tu.
2. Ni mzalendo
3. Hana ujomba wala ubabu kwenye kazi
4. Ana lengo moja tu la kudiscipline.
5. Ana uchungu na rasilimali za nchi
6. Akisema anamaanisha.
7.Hatabiriki
8. Amedhamiria kushughulika na mifupa ilomshinda fisi
9.Haamini katika kushindwa
10. Anashaurika ukimshauri vya maana.
Hiyo no 3 hana ujomba ni Rubbish kabisa..
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bw Dotto James ni mtoto wa dada yake kabisa..
Acha kujiacha mtupu kwa kuandika upuuzi.
Wale wanatamani kufanya nae kazi hadi wanamuomba awateue...eeeeeeh upinzani huo lazima ni Chadema namba moja.... ha ha ha haaaa
Hapa kazi tu
Mungu azidi kumuongoza
Magufuli 2020
Magufuli oyeeeeee