Sifa (characteristics) za wabunge wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa (characteristics) za wabunge wetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee, Apr 20, 2011.

 1. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Zifatazo ni sifa za wabunge (characteristics)wetu
  1; Wapo kwa maslahi yao bnafsi na ya chama chao.
  2; Hawana uwezo wa kujenga hoja zaid ya kupiga makofi.
  3; Hawana uchungu na nchi + wananchi wake.
  4; Wepesi wa kusahau shida.
  5; Werevu wa kuzoea raha za bungeni na kusahau walichotumwa na wananach wao.
  6; Washirikana (wanaupata uongozi kwa njia za kichawi);
  7; Hawamthamimni mwananchi baada ya uchaguz.
  8; Hawajui vipaumbele vya wananchi wao ktk maendeleo.
  9; Wavivu wa kufikiria.
  10; Wamezidiwa na itikad za kichama zaidi.
  11;Hawajui majukumu yao.
   
 2. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siyo wote, avoid generalization kwani kuna akina tundu Lissu.
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  majority ni wa aina hyo
   
Loading...