Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Hizi ndio sifa 90 za Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi, Dkt.Samia Suluhu Hassan.
1. Anajitambua
2. Analijua vizuri eneo (Nchi) analoliongoza na watu wake
3. Anaielewa vizuri kazi yake na mipaka yake
4. Ni mcha mungu, anatii amri za Mungu na Maelekezo ya Dini yake
5. Anatunza afya yake jambo ambalo ni muhimu sana kwa kiongozi
6. Anajua kuwaenzi viongozi wastaafu
7. Anawatambua wazee, vijana, wanawake na kujiweka mikononi mwao
8. Ana washauri wazuri binafsi, wenye elimu, juzi na uzoefu katika fani zao
9. Ni kiongozi anayeshaurika Mf Mwabukusi kaomba kuonana naye kafikiwa
10. Anatambua umuhimu wa viongozi wenzake huyu mama
11. Amejenga na kuimarisha ushirikiano na mshikamano na viongozi wenzake
12. Anajali na kuyasaidia makundi maalumu, yaani walemavu, wagonjwa, waliopata ajali, wajane, wasio na uwezo, wazee na vikongwe mfano ameahidi serikali yake itahakikisha ni marufuku kuzuiliwa hosp.
13. Sio mtu wa kulaumu, hana dharau na hatoi vitisho hadharani kwa kuwataja majina, watendaji na viongozi wenzake, hata kama wana makosa yaliyo dhahiri
14. Anajali wafanyakazi wenzake iwe ofisini na katika taasisi nyingine
15. Anaheshimu maamuzi yaliyofanywa na vikao rasmi hata kama hakushiriki
16. Dkt.Samia sio king'ang'anizi cha misimamo yake kwa kujiona kuwa yeye ni ndiye aliye sahihi
17. Amekuwa mhudhuria mkubwa wa vikao mbalimbali kama kiongozi ama mjumbe kwenye jumuiya za kikanda na kimataifa na kuchangia mawazo yake
18. Dkt.Samia ana heshima kwa viongozi wenzake
19. Dkt.Samia anaheshimu ndoa yake na anaipenda familia yake kwanza
20. Anaheshimu Katika na Sheria za nchi
21. Ni kiongozi ambaye anatenganisha uongozi wake na ubinafsi kwani anajua havipatani
22. Ni kiongozi ambaye sio rahisi kukubali ushauri wa wasaidizi wake ambalo hauamini kuwa ni kweli
23. Ni mbunifu, mwanamikakati, mwanaharakati na mwenye mawazo mapya
24. Ni kiongozi anayewapenda watu, anawajali na kuwaheshimu mno
25. Hana chuki na watu kiongozi huyu
26. Anaamini katika usawa na udugu na binadamu wote
27. Dkt.Samia hawezi kuwapita watu njiani bila kuwasalimu na kuwapungia mkono
28. Anawapenda na kuwaheshimu watoto, vijana na wanawake
29. Anawasikiliza wananchi anaowaongoza ili ajue wanavyomuona na kumsema
30. Amekuwa msemaji mkubwa wa wananchi bila kuogopa chochote
31. Ni mpigani amani na maendeleo ya watu.
32. Ni kiongozi wa haki
33. Anaheshimu muda na muda wa watu wengine
34. Ana bidii na nidhamu kazini
35. Sio mvivu katika utendaji kazi
36. Sio kiongozi mpiga dili
37. Sio mlevi wa pombe
38. Sio tajiri wa kununua watu, waandishi na wapiga kura, kazi zake zinaongea mwanamke huyu shupavu
39. Hata pale anapostahili kusifiwa yeye hapendi sifa
40. Haweki ukuta kati yake na anaowangoza
41. Sio mtu wa kulipa visasi
42. Ni mfanya utafiti, yuko makini na sio mropokaji
43. Dkt Samia akienda kwenye vikao na mikutano anajiandaa vizuri kwa ajili ya mkutano au kikao hicho
44. Sio Mnafiki, kigeugeu na mtoa ahadi hovyo
45. Ni mweli na muwazi maishani make
46. Hadaiwi na mtu yeyote binafsi
47. Ni kiongozi anayejihadhari sana na marafiki zake ili wasimharibie kazi
48. Anaheshimu Dini zote na viongozi wake
49. Ni mdemokrasia wa kweli
50. Ni mpenzi mkubwa michezo na mazoezi ya Mawili mfano Goli la Mama, viwanja vya mpira Arusha nk
51. Ni mpole na mnyenyekevu lakini sio mnyela
52. Anajielimisha ili awe na elimu ya kutosha
53. Amekuwa akihimiza watu wajielimishe kwa kadiri ya uwezo wao na waitumie elimu Yao kwa faida ya watu wote
54. Amekuwa akihimiza sana upanuzi na uboreshaji wa elimu katika nchi hii
55. Ni kiongozi wa mfano Bora
56. Anaheshimu, anawapenda na kushirikiana na majirani zake
57. Anaheshimu vyombo vya habari na wafanyakazi wake
58. Huwa haamui kwa kusikiliza upande mmoja
59 .Hana majungu Wala fitina
60. Sio mtumiaji wa dawa za kulevya, hauzi na Wala hana utani na biashara hiyo haramu
61. Ni mzalendo wa kweli
62. Hana kiburi Wala ukorofi Mama huyu
63. Sio mwizi, jambazi Wala fisadi
64. Sio mkali sana na mwenye hasira za haraka
65. Anaamini mafanikio ya wananchi ndio mafanikio ya serikali yake
66. Anaamini Reconciliation, reforms, Resilience and Rebuilding ni muhimu sana kujenga umoja wa kitaifa
67. Amekuwa akitoa taarifa za utendaji wake wa kazi kupitia kwa wakuu wa mikoa na wakuu wa Wilaya mara kadha
68. Ni mtu wa kushukuru sana
69. Amekuwa muwazi kwa kuwaeleza wananchi ukusanyaji wa mapato kupitia TRA
70. Ni muadillifu sana hana biashara yoyote ya magendo
71. Sio mhujumu uchumi
72. Sio mharibu mazingira na Sasa anapambana kwenye nishati safi ya kupitia duniani, mfano majiko ya gesi
73. Hana tamaa
74. Hana kambi kwenye uchaguzi anaamini chama kwanza mtu baaadae
75. Hajioni kuwa yeye ni Bora kuliko watu anaowaongoza Wala viongozi anaoshirikiana nao kuwaongoza
76. Anajitoleza sana kuitumikia nchi na watu wake sema TU kizazi hiki cha Sasa ni cha nyoka
77. Anatambua kuwa cheo ni dhamana na hakitumii kwa faida yake binafsi
78. Anapambana sana mwanamama huyu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhulma mf 10% mikopo
79. Ni kiongozi anayeweza kukubali kukosolewa lakini iwe constructive criticism
80. Ni jasiri mfano alipoapishwa aliwahi kumsema aliyesimama mbele yenu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz
81. Ni kiongozi anayeandaa viongozi wa kesho succession planning
82. Dkt Samia sio "muuaji" wa viongozi wenzake
83. Sio kiongozi wa kuwekewa shaka kabisa
84. Ni mzazi wa kuaminiwa
85. Anawajali sana wanyonge katika jamii
86. Hang'ang'anii uongozi kwa kipindi kirefu, mipaka mitano hii ni ya mwisho kwake
87. Ni Misri na haenezi uvumi
88. Ana moyo wa huruma sana kwa wananchi
89. Hapendi makuu Wala sifa za kijinga kijinga
90. Ni mtaratibu, msikivu na mwenye maono
Kwa sifa hizo, Dkt.Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Dkt.Hussein Ali Mwinyi, mgombea urais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wanatoshaaaaaaaa.
Kwanini Oktoba 29 Nisitiki?
Kama umeipenda hii