Kwa vile atakukoromea mara ukubali ushoga mara usifanye kile haya ndo yataondoa umasikini? Anakupa vimisaada vya shule ma vyoo badala ya kutengeneza viwanda ili upate ajira?
Kwa vile atakukoromea mara ukubali ushoga mara usifanye kile haya ndo yataondoa umasikini?
Anakupa vimisaada vya shuli ma vyoo badala ya kutengeneza viwanda ili upate ajira?
Hawawezi tengeneza viwanda kwenye Sera za kijamaa ni kurisk mtaji.
Ushoga upo kwenye Jamii zote hata kwa Siri.
Hatuna uwezo wa kujenga vyoo kuonewa huruma si mbaya kuwasaidia wahitaji