Siera Leone vs Ivory Coast live

Siera Leone vs Ivory Coast live

Dk ya 6 cot d voire wanapata goli,Cole toure anawapatia cot d voire goli la kwanza
 
Dk ya 24 Sierra Leone wanasawazisha.
1-1
 
Cot d voire wanapata goli la pili dk 49
 
Dk ya 52 cod t voire 3- Sierra Leone 1
 
Niliacha mapumziko 1 - 1, nimetoka narudi dakika ya kumi kipindi cha pili sasa ni 3 - 1, imekuwaje hapa?
 
Niliacha mapumziko 1 - 1, nimetoka narudi dakika ya kumi kipindi cha pili sasa ni 3 - 1, imekuwaje hapa?

Sierra Leo kipa mbovu anatoka mbele basi wanakuwa wanamsoma vizuri
 
Huu mpira ushaniboa heri niangalie wa Botswana.
Yaani 5-1
 
Fujo zinaanza polisi wanajaa uwanjani
 
Mpira wa Botswana na Tunisia ni mzuri aisee
 
Botswana bana, ingekuwa Taifa Stars tungewafunga hawa watunis.
 
Back
Top Bottom