Natumain mpo salama,
Nnamchumba wangu ambay tuna miezi mi 5 kwenye mahusiano yetu,majuz aliniacha na kusema hatak tena mahusiano, hatukua na ugomv ingaw ni mda nlishaon mapenz yamepungua toka kwake,nlijitahd kuwa kawaid nkijaribu kumpatia upendo kama kawaida, nkijua ni hali ya panda shuka za mahusiano yeyte yale. Nlipomuuliz juu ya mabadliko alijib yey yupo saw wasi wasi wangu tu, ila juz sasa nkashangaa sms kuw hataki tena ameamua kubadl maamuz, hvyo samahan kwa kunipotezea mda nicheki upande mwingne, sababu anasem alishakata tamaa mad mrefu, hivyo aliacha namim nijikatie tamaa mwenyew, nliumia maan nampenda, nkabembelez aseme tatzo nin, akasema anatak awe huru zile hun uko wap, mbn Kimy lawam awez, haon faid ya kuw na mahusiano. Nlimsih sana tuendelee ntachange akakataa kabsa. Nkamuuliz kama kapat mwingne, kaapa hana mtu zaid ila kaamua tu ataki, well nkamtumia text ya mwisho kumshukur na kumtakia maisha mema, then nkapiga zangu Kimy,kesho yake kanitext hi, nkapig kimy sim zikaanz kumwagik missed calls kama 20 hiv, na haikuw kamawaid yake, kamtumia had dadake skupokea, ikampelekea kunifat had kazn kwang eti ahakikishe npo salama, skuonesh kumchangamkia kama mwanzo, akaondka kwa hasira, akanitext haamin kilichotokea nimemuumiz had anahis kuchanganyikiwa, sikumjib lolote, baad ya siku mbili kimy, mamake akanipigia na kunitaka tuyamaliz, nkamjib mm skuwa na tatzo ispokuwa mwanae, akaongea nae, then mchumba akapiga na kunambia kanisameh yote so tuendelee.
Ushauri naotak mim moy Wang ushaanz kukata tamaa juu yake,imani imepungua na nahof yasije yakawa mapenz ya kulazmish, yakaj kujirudia coz skujua nin kimemfany abadili maamuz tena,ana nia, je ni toka moyn au mnaona imekaaje hii wakuu.
Nawasilisha.