Natumain mpo salama,
Nnamchumba wangu ambay tuna miezi mi 5 kwenye mahusiano yetu,majuz aliniacha na kusema hatak tena mahusiano, hatukua na ugomv ingaw ni mda nlishaon mapenz yamepungua toka kwake,nlijitahd kuwa kawaid nkijaribu kumpatia upendo kama kawaida, nkijua ni hali ya panda shuka za mahusiano yeyte yale. Nlipomuuliz juu ya mabadliko alijib yey yupo saw wasi wasi wangu tu, ila juz sasa nkashangaa sms kuw hataki tena ameamua kubadl maamuz, hvyo samahan kwa kunipotezea mda nicheki upande mwingne, sababu anasem alishakata tamaa mad mrefu, hivyo aliacha namim nijikatie tamaa mwenyew, nliumia maan nampenda, nkabembelez aseme tatzo nin, akasema anatak awe huru zile hun uko wap, mbn Kimy lawam awez, haon faid ya kuw na mahusiano. Nlimsih sana tuendelee ntachange akakataa kabsa. Nkamuuliz kama kapat mwingne, kaapa hana mtu zaid ila kaamua tu ataki, well nkamtumia text ya mwisho kumshukur na kumtakia maisha mema, then nkapiga zangu Kimy,kesho yake kanitext hi, nkapig kimy sim zikaanz kumwagik missed calls kama 20 hiv, na haikuw kamawaid yake, kamtumia had dadake skupokea, ikampelekea kunifat had kazn kwang eti ahakikishe npo salama, skuonesh kumchangamkia kama mwanzo, akaondka kwa hasira, akanitext haamin kilichotokea nimemuumiz had anahis kuchanganyikiwa, sikumjib lolote, baad ya siku mbili kimy, mamake akanipigia na kunitaka tuyamaliz, nkamjib mm skuwa na tatzo ispokuwa mwanae, akaongea nae, then mchumba akapiga na kunambia kanisameh yote so tuendelee.
Ushauri naotak mim moy Wang ushaanz kukata tamaa juu yake,imani imepungua na nahof yasije yakawa mapenz ya kulazmish, yakaj kujirudia coz skujua nin kimemfany abadili maamuz tena,ana nia, je ni toka moyn au mnaona imekaaje hii wakuu.
Nawasilisha.
Nakumbuka hii ilinitokea 2016, binti alinitumia text anasema mimi na wewe basi. Kusikia vile nikashtuka nikasema imekuwaje tena? Kama mnavojua huwezi kukubali mtu akuache hivihivi, nikampigia kumuuliza vipi imekuwaje tena? binti kasema hamna kitu, basi tuonane tuyazungumze kama kuna shida, binti anasema hamna shida na wala sijamkosea wala nini. Mwanaume nikasema poa. Baada ya wiki moja binti ananipigia anasema nilipitiwa tu naomba turudiane. Mimi nikagoma. Huo ndo ukawa mwisho wa mahusiano yetu. Hapo uamuzi ni wako, ila kwangu hapo ndo ingekuwa kwaheriNatumain mpo salama,
Nnamchumba wangu ambay tuna miezi mi 5 kwenye mahusiano yetu,majuz aliniacha na kusema hatak tena mahusiano, hatukua na ugomv ingaw ni mda nlishaon mapenz yamepungua toka kwake,nlijitahd kuwa kawaid nkijaribu kumpatia upendo kama kawaida, nkijua ni hali ya panda shuka za mahusiano yeyte yale. Nlipomuuliz juu ya mabadliko alijib yey yupo saw wasi wasi wangu tu, ila juz sasa nkashangaa sms kuw hataki tena ameamua kubadl maamuz, hvyo samahan kwa kunipotezea mda nicheki upande mwingne, sababu anasem alishakata tamaa mad mrefu, hivyo aliacha namim nijikatie tamaa mwenyew, nliumia maan nampenda, nkabembelez aseme tatzo nin, akasema anatak awe huru zile hun uko wap, mbn Kimy lawam awez, haon faid ya kuw na mahusiano. Nlimsih sana tuendelee ntachange akakataa kabsa. Nkamuuliz kama kapat mwingne, kaapa hana mtu zaid ila kaamua tu ataki, well nkamtumia text ya mwisho kumshukur na kumtakia maisha mema, then nkapiga zangu Kimy,kesho yake kanitext hi, nkapig kimy sim zikaanz kumwagik missed calls kama 20 hiv, na haikuw kamawaid yake, kamtumia had dadake skupokea, ikampelekea kunifat had kazn kwang eti ahakikishe npo salama, skuonesh kumchangamkia kama mwanzo, akaondka kwa hasira, akanitext haamin kilichotokea nimemuumiz had anahis kuchanganyikiwa, sikumjib lolote, baad ya siku mbili kimy, mamake akanipigia na kunitaka tuyamaliz, nkamjib mm skuwa na tatzo ispokuwa mwanae, akaongea nae, then mchumba akapiga na kunambia kanisameh yote so tuendelee.
Ushauri naotak mim moy Wang ushaanz kukata tamaa juu yake,imani imepungua na nahof yasije yakawa mapenz ya kulazmish, yakaj kujirudia coz skujua nin kimemfany abadili maamuz tena,ana nia, je ni toka moyn au mnaona imekaaje hii wakuu.
Nawasilisha.
siku zote usiingize miguu yote kwenye tundu moja ni rahisi kuanguka, akili kichwaniNatumain mpo salama,

Hahahaha vibaya ivo metKwa mwandiko huo hata mimi ningekuacha
Hamna bwanaHahahaha vibaya ivo met
mzee baba umetoa ushauri safi, sasa yeye akicheza ngoma ya manzi na mama mkwe keshapotea kabisa ndoa itakuwa ya vikao kwa kila jambo hata mambo ya papuchi.Mkuu manzi yako ni drama queen. Anakuchokonoa. Na ana staki nataka nyingi sana..sasa ww fanya hivi. Shikilia msimamo yako.. acha aruke ruke weeee.. ww mwache. Lakin simama kiume . Usipanick.
Japo hata Mimi mwandiko nimeshindwa kuusoma vizuri, kiukweli nimeishia njiani. vifupisho kama vyote na hakuna paragraph katika aya yake.Hamna bwana
Hatari sanaJapo hata Mimi mwandiko nimeshindwa kuusoma vizuri, kiukweli nimeishia njiani. vifupisho kama vyote na hakuna paragraph katika aya yake.

Acha ujuaji we kiaz ,kwan mwandiko ndio unaokualala?vimanz vingine kero tupu

Shangazi Rebeca 83 unavunja ndoa ya watuPole sana kupata mtu anacheza na feelings zako, uamuzi ni wako ila kiukweli huyo dada hakupendi, kitendo cha kukuambia muachane wakati unejihakikishia hana mtu, ni Jibu Tosha kuwa haupo mawazoni kwake, anataka tu mtu kwa vile hana mtu kwa sasa...akimpata mwenye vigezo atakubwaga kama zigo la mavi,,in short hapakufai hapo tafuta mtu anayekupenda u enjoy maisha