Sielewi nifanye nini

Sielewi nifanye nini

Young king

New Member
Joined
Jul 20, 2019
Posts
1
Reaction score
2
Natumain mpo salama,
Nnamchumba wangu ambay tuna miezi mi 5 kwenye mahusiano yetu,majuz aliniacha na kusema hatak tena mahusiano, hatukua na ugomv ingaw ni mda nlishaon mapenz yamepungua toka kwake,nlijitahd kuwa kawaid nkijaribu kumpatia upendo kama kawaida, nkijua ni hali ya panda shuka za mahusiano yeyte yale. Nlipomuuliz juu ya mabadliko alijib yey yupo saw wasi wasi wangu tu, ila juz sasa nkashangaa sms kuw hataki tena ameamua kubadl maamuz, hvyo samahan kwa kunipotezea mda nicheki upande mwingne, sababu anasem alishakata tamaa mad mrefu, hivyo aliacha namim nijikatie tamaa mwenyew, nliumia maan nampenda, nkabembelez aseme tatzo nin, akasema anatak awe huru zile hun uko wap, mbn Kimy lawam awez, haon faid ya kuw na mahusiano. Nlimsih sana tuendelee ntachange akakataa kabsa. Nkamuuliz kama kapat mwingne, kaapa hana mtu zaid ila kaamua tu ataki, well nkamtumia text ya mwisho kumshukur na kumtakia maisha mema, then nkapiga zangu Kimy,kesho yake kanitext hi, nkapig kimy sim zikaanz kumwagik missed calls kama 20 hiv, na haikuw kamawaid yake, kamtumia had dadake skupokea, ikampelekea kunifat had kazn kwang eti ahakikishe npo salama, skuonesh kumchangamkia kama mwanzo, akaondka kwa hasira, akanitext haamin kilichotokea nimemuumiz had anahis kuchanganyikiwa, sikumjib lolote, baad ya siku mbili kimy, mamake akanipigia na kunitaka tuyamaliz, nkamjib mm skuwa na tatzo ispokuwa mwanae, akaongea nae, then mchumba akapiga na kunambia kanisameh yote so tuendelee.
Ushauri naotak mim moy Wang ushaanz kukata tamaa juu yake,imani imepungua na nahof yasije yakawa mapenz ya kulazmish, yakaj kujirudia coz skujua nin kimemfany abadili maamuz tena,ana nia, je ni toka moyn au mnaona imekaaje hii wakuu.

Nawasilisha.
 
Pole sana kupata mtu anacheza na feelings zako, uamuzi ni wako ila kiukweli huyo dada hakupendi, kitendo cha kukuambia muachane wakati unejihakikishia hana mtu, ni Jibu Tosha kuwa haupo mawazoni kwake, anataka tu mtu kwa vile hana mtu kwa sasa...akimpata mwenye vigezo atakubwaga kama zigo la mavi,,in short hapakufai hapo tafuta mtu anayekupenda u enjoy maisha
 
Kwa uzoefu wangu na hao viumbe,hapo anakutingishia kiberiti(kukupima) ili ajue udhaifu wako na apate kukuendesha,so endelea na msimamo wako huo mpya wa kumchukulia kama stranger,usimumini tena.Ishi naye mguu pande,ili siku akisema anaondoka usiumie maana ulijiandaa.Kamwe usije kujipa dhambi ya kumuamini itakugharimu sana.Muamini kiasi,kiasi kingine fanya maisha yako kwa ajili ya future yako jombaa.Hao viumbe ni sumu katika maisha,ishi nao kwa akili!!
 
Acha ujuaji we kiaz ,kwan mwandiko ndio unaokualala?vimanz vingine kero tupu
Mkuu sio ujuaji, na mimi natamani ningekuwa mwelewa kama wewe nisikereke ila nashindwa kujizuia kukereka mtu anapoandika mwandiko kama huo, najua hata mimi nna vitu vinavyokera watu likiwemo hili nililoandika hapa ila dunia ndio iko hivyo cha muhimu kuvumiliana
 
Shida ni suffication hapo.
Wapenzi sio mali (property).
Mpe space yake, kama ni wako ataheshimu boundaries, na kama ni wetu utajua tu mapema ubebe nguo zako usepe.
 
Kweli utu uzima dawa,sio kwa jibu hili.
Mkuu sio ujuaji, na mimi natamani ningekuwa mwelewa kama wewe nisikereke ila nashindwa kujizuia kukereka mtu anapoandika mwandiko kama huo, najua hata mimi nna vitu vinavyokera watu likiwemo hili nililoandika hapa ila dunia ndio iko hivyo cha muhimu kuvumiliana
 
Pole sana kupata mtu anacheza na feelings zako, uamuzi ni wako ila kiukweli huyo dada hakupendi, kitendo cha kukuambia muachane wakati unejihakikishia hana mtu, ni Jibu Tosha kuwa haupo mawazoni kwake, anataka tu mtu kwa vile hana mtu kwa sasa...akimpata mwenye vigezo atakubwaga kama zigo la mavi,,in short hapakufai hapo tafuta mtu anayekupenda u enjoy maisha
Ume explaon vizuri. Plus huyo anaonekana hajakuwa kiakili. Yaan zile games bado anacheza tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom