Sielewi nifanyaje

Sielewi nifanyaje

gwenivia

Senior Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
118
Reaction score
20
jaman kuna mtu kanambia ananipenda sana nlimfkiria kwa mda mrefu nkagundua nami pia nampenda lkn nina waswas baadae hatanipenda tena anajitahidi kila siku kunijulia hali n kwa sasa kaacha kunambia kuwa ananipenda
 
Endelea kumuangalia/kumchunguza tabia zake
 
Hivi ni wewe uliuliza habari za shoga anaweza kuoa au kutokuoa?
 
Una division arobaini na ngapi kwenye BRN?
 
Ha ha haa inabidi anitafute jmn, unanifurahisha sana looh!

Kukutafuta weye ni sawa mtu apewe kibarua cha kusaka mizizi ya jiwe...huonekani lol

Furahi tu kipenzi maisha yenyewe haya stress kibao...
 
Kukutafuta weye ni sawa mtu apewe kibarua cha kusaka mizizi ya jiwe...huonekani lol

Furahi tu kipenzi maisha yenyewe haya stress kibao...

Haahahahhaaaa kibarua cha kusaka mizizi ya jiwe? Daaah hahahaa thank u for making laugh!
 
una umri gan?!,c ajabu division 40 na ngap inakusumbua
 
Japo kauli pia zina nafasi kubwa kwenye mapenzi, kwani mwingine anaweza akakuimbia anakupenda na akawa hamaanishi, so Mchunguze kwa mengneyo pia.
 

una kasoro gani mpaka uogope
kwamba hawezi kukupenda ukishampa kijitunda!!
 
Back
Top Bottom