Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,312 Reaction score 8,754 Nov 6, 2017 #1 Ndugu Zangu wapenda soka Naombeni Mnijuze Kwanini Huyu Ronaldo wanamwita Goal Machine? Huu si uongo wa wazi wazi kabisa maana ukiangalia Messi ana Scoring Ratio Kubwa Kuliko CR7 Lionel Messi is just 9 goals behind Cristiano Ronaldo despite having played 100 games less
Ndugu Zangu wapenda soka Naombeni Mnijuze Kwanini Huyu Ronaldo wanamwita Goal Machine? Huu si uongo wa wazi wazi kabisa maana ukiangalia Messi ana Scoring Ratio Kubwa Kuliko CR7 Lionel Messi is just 9 goals behind Cristiano Ronaldo despite having played 100 games less
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,041 Reaction score 6,311 Nov 6, 2017 #2 Ronaldo ni one man army.
Eng Inc JF-Expert Member Joined Feb 3, 2017 Posts 631 Reaction score 946 Nov 6, 2017 #3 Mkuu katika hizo statistics ata siku moja huwezi kubadilisha wapenzi wa Ronaldo wawe kwa Messi and vice versa. Kwa mimi naungana na Neymar kwamba kama ni mguu wa kulia basi ni Ronaldo na kama ni mguu wa kushoto basi ni Messi mengine ni ujinga.
Mkuu katika hizo statistics ata siku moja huwezi kubadilisha wapenzi wa Ronaldo wawe kwa Messi and vice versa. Kwa mimi naungana na Neymar kwamba kama ni mguu wa kulia basi ni Ronaldo na kama ni mguu wa kushoto basi ni Messi mengine ni ujinga.
GoPPiii. JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 1,791 Reaction score 3,079 Nov 7, 2017 #4 Sumu said: Ronaldo ni one man army. Click to expand... Unamaana huwa anacheza peke yake uwanjani dhidi ya timu pinzani ya watu 11?
Sumu said: Ronaldo ni one man army. Click to expand... Unamaana huwa anacheza peke yake uwanjani dhidi ya timu pinzani ya watu 11?
Marlex Jr JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 1,823 Reaction score 2,426 Nov 7, 2017 #5 Poor penaldo
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,059 Nov 7, 2017 #6 Messi ni Master
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,590 Reaction score 6,957 Nov 8, 2017 #7 Professor haelezeki
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,591 Nov 9, 2017 #8 Bora yeye kacheza ligi tofaut