SIDO kutoa mafunzo bure?

G.25

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
1,730
1,868
Wanajamii leo asubui kwenye kipindi cha maswali na majibu bungeni nilimsikia waziri akijibu swali bungeni alisema, "sido ipo kila mkoa na inalipwa na serekali, na watu waende kupata ujuzi bure" swali langu ni kweli sido hutoa mafunzo bure miaka yote? Au hii bure ndo imeanza mwaka huu?
 
Back
Top Bottom