Sidhani kama wanaoimba No Reforms ni Wapiga kura waliojiandikisha!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,521
Watanzania ni mabingwa wa kufuata mkumbo

Chadema hawashiriki uchaguzi na hata zoezi la kuboresha taarifa za wapiga kura na kuandikisha wapiga kura wapya hawajashiriki

Sasa hiyo No Election wataifanyia wapi?

Watanganyika fanyeni kazi achaneni kufuata mikumbo kama Wazaramo na ngoma ya “ Mdundiko”

Dominica njema 😁
 
Dominica nje
no reforms no election, haijalishi umejiandikisha au laah!
 
Watanzania ni mabingwa wa kufuata mkumbo

Chadema hawashiriki uchaguzi na hata zoezi la kuboresha taarifa za wapiga kura na kuandikisha wapiga kura wapya hawajashiriki

Sasa hiyo No Election wataifanyia wapi?

Watanganyika fanyeni kazi achaneni kufuata mikumbo kama Wazaramo na ngoma ya “ Mdundiko”

Dominica njema 😁
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election

Waliojiandika wanatasha, siyo lazima tuwe wote.
 
1000000224.jpg
 
Mtasingizia kila kitu mwaka huu.

Mtaongea yote mwaka huu.

Watanzania tumeshaamua kwa sauti moja No Reform No Election.

Si mlishazoea kutufanya mazwazwa kutupangisha foleni alafu kura zetu hamzihesabu. Sasa jichagueni mkose legitimacy kabisa
 
Watanzania ni mabingwa wa kufuata mkumbo

Chadema hawashiriki uchaguzi na hata zoezi la kuboresha taarifa za wapiga kura na kuandikisha wapiga kura wapya hawajashiriki

Sasa hiyo No Election wataifanyia wapi?

Watanganyika fanyeni kazi achaneni kufuata mikumbo kama Wazaramo na ngoma ya “ Mdundiko”

Dominica njema 😁
Tanzania kunakuwaga na uchaguzi?

watu wanapitishwa bila kupingwa

wasimamizi wa kura wanajaza kura feki kwenye masanduku

wasimamizi wa uchaguzi kuwatangaza wasioshinda kama wameshinda
 
Watanzania ni mabingwa wa kufuata mkumbo

Chadema hawashiriki uchaguzi na hata zoezi la kuboresha taarifa za wapiga kura na kuandikisha wapiga kura wapya hawajashiriki

Sasa hiyo No Election wataifanyia wapi?

Watanganyika fanyeni kazi achaneni kufuata mikumbo kama Wazaramo na ngoma ya “ Mdundiko”

Dominica njema 😁
HUU MZAHA NDIYO ULIMPONZA FREEMAN AIKAEL MBOWE AKASHUPAZA SHINGO WAJUMBE WAKAPITA NAYE SHWAAAH!
 
Watanzania ni mabingwa wa kufuata mkumbo

Chadema hawashiriki uchaguzi na hata zoezi la kuboresha taarifa za wapiga kura na kuandikisha wapiga kura wapya hawajashiriki

Sasa hiyo No Election wataifanyia wapi?

Watanganyika fanyeni kazi achaneni kufuata mikumbo kama Wazaramo na ngoma ya “ Mdundiko”

Dominica njema 😁
Sasa kwa nini umepanick
 
Screenshot_20250608-104007_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom