THEBLACKPEARL Member Joined Jun 11, 2015 Posts 69 Reaction score 46 Mar 23, 2017 #1 Kwa mawazo yangu sidhani kama mwakyembe atakuwa kama Nape kwenye swala zima za michezo aiseee mungu tusaidie
Kwa mawazo yangu sidhani kama mwakyembe atakuwa kama Nape kwenye swala zima za michezo aiseee mungu tusaidie
Duduwasha JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 5,703 Reaction score 3,663 Mar 23, 2017 #2 Sie wadau Wa Basketball tuna mikosi kuliko Maelezo tuliahidiwa viwanja sasa ndoto ishafutika tena