Side effects of ARVS

Man Mvua

JF-Expert Member
Apr 12, 2016
2,183
3,520
Salaam wadau ;
Katika kupita pita kwangu mtandaoni nikakutana na side effects of Arvs kwa mtumiaji.kinachonishangaza ni kwamba baadhi ya hizo athali ni mbaya zaidi kuliko hata zile athali za opportunistic diseases , nimezileta hapa ili tujadili kwa pamoja kwa sababu nadhani watumiaji wengine HAWAJUI ATHALI ZAKE. Ahsante.
Nawasilisha wakuu

Side effects of ARVS
1.Abacavir hypersensitivity
2.Bleeding

3.Bone loss

4.Kidney, liver or pancreas damage

5.Fatique

6.Rashes

7.Nausea and vomiting

8.Trouble sleeping

9.numbness, burning or pain in the hands or feet caused by nerve problems.

10.Higher than normal levels of cholesterol and Triglycerides in the blood.

11.High blood sugar and diabetes

12.Diarrhea

WORSE THAN ALL

13.Mood changes, Depression and Anxiety caused by ARVS type Efavirenz (sustiva).

14.Heart disease

15.High lactic acid levels in the blood ( Lactic acidosis)

Baadhi ya dalili za ugonjwa ambazo zinatakiwa kutoweka baada ya kutumia dawa zinasababishwa na dawa yenyewe, hapa pakoje ???
Wadau tujadili. ....
 
Kuna ARV's nzuri zaidi kama isentress ambazo ni ghali kidogo nimeona hata Marekani wanaozitumia wanakuwa na wasiwasi pindi kama pension insurance cover itaweza kumudu gharama.

Ukishakuwa +VE ukubali kuwa unatatizo kubwa.
 
Aisee, sasa hapa unaharibu kabisa.
 
Naomba kujuzwa kuna mdada mtaani kwetu ni mwathirika tayari anatumia ARV lakini amekuwa na tabia ya kutembea tembea hovyo na vijana wasiomjua.Ilifika mahali ikabidi nimuulize kwanini amekuwa mwingi wa habari akanijibu bila kusita eti dawa anazokunywa ndio sababu.
 
Pole zake, anajiendekeza tu, basi anunue wa plastic kuliko kusambaza maambukizi kwa vijana wetu. Uzuri ni kuwa ukiwa kwenye ART inapunguza chance za maambukizi mapya lakini anavyofanya si sahihi.
 
Kuna Dr alinieleza kuwa heti kama mtu anatumia ARV hawezi kuambukiza mwenzake kwani virusi vinakuwa dormant,je kuna ukweli wowote kwa ili?
 
Kuna Dr alinieleza kuwa heti kama mtu anatumia ARV hawezi kuambukiza mwenzake kwani virusi vinakuwa dormant,je kuna ukweli wowote kwa ili?

Kuna ukweli na ndiyo maana WHO October 2015 walitoa agizo kuwa wale wote waliopimwa na kukutwa +ve wapewe dawa mara moja ili kupunguza kasi ya maambukizi mapya.

Kama risk zozote zile za maisha, kuna 1% unaweza kupata maambukizi kutoka kwa mtu anaetumia ARV's.
 
Back
Top Bottom