SIDA na DFID kutoa Shilingi Bilioni 241 Kusaidia miradi ya umeme vijijini Tanzania bara

Mashirika ya misaada ya SIDA na DFID yataipa Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 241 kwa ajili ya miradi ya umeme vijijini Tanzania Bara ili kuboresha maisha ya wanavijiji wa Tanzania Bara.

Source
http://www.rea.go.tz/NewsCenter/Tab...F-TANZANIA-SWEDEN-AND-THE-UNITED-KINGDOM.aspx

Wanavijiji kaeni mkao wa kuendelea


Magufuli kamaanisha anaposema Hapa KAZI TU
kwa hiyo ule mpango uliokuwepo wa umeme vijijini umekufa na pesa zake zote tunaanza na mpango mpya na fedha mpya, kweli watanzania ni watu wa kudanganywa kila siku, tuliambiwa hapa tena kwa msisitizo kwamba,gesi itamaliza matatizo yote ya umeme sasa hivi tunaletewa hadidhi nyingine. taaabuu kwelikweli
 
Back
Top Bottom