Jamaa ako noma yeye anacho jali ni k imradi ni mwaamke, akikosa siku mbili anakuwa na ukame balaaKuna watu linapokuja suala la mapenzi sijui wamerogwa....!!Kuna mpangaji mwenzangu hapa yeye hachagui mwanamke wa kufanya naye mapenzi machangudoa, mahouse girl, mama lishe, wauza mboga, wafanyakazi wenzake wa kike (hawa ndio anawabadilisha kama nguo). Mbaya zaidi anafanyia hapahapa katika nyumba aliyopanga (bahati nzuri mwenye nyumba haishi hapa tupo wapangaji tu) na wakati mwingine anamalizia haja zake vichakani hasa na mahousegirl. Hawezi kupitisha zaidi ya siku mbili bila kulala na mwanamke. Tumejitahidi kumshauri japo awe na staha lakini amekuwa akitujibu kuwa SICHAGUI, SIBAGUI ATAKAYENIZIKA SIMJUI.........
Hahitaji maana habaki anatongoza na wanakubaliAnahitaji maombi kwa kweli...
Huyu nafikiri al;ichagua hii taruma ya ualim mahususi kwa kazi ya kudadavua vimwana.Huyo ana afadhali kuna jirani yangu ni mwalimu pale IFM, anavyovisasambua vibinti vyanafunzi vya hapo IFM inasikitisha... Kama hiyo haitoshi, vibinti vya mtaani navyo si salama, maana anavyovipanga foleni, hata sijui anatumia MKUYATI AU MZAKARU...
Huyo ana afadhali kuna jirani yangu ni mwalimu pale IFM, anavyovisasambua vibinti vyanafunzi vya hapo IFM inasikitisha... Kama hiyo haitoshi, vibinti vya mtaani navyo si salama, maana anavyovipanga foleni, hata sijui anatumia MKUYATI AU MZAKARU...
Aiseee,hii story hii mmh.
Kuna mtu alikua jirani yangu sehem flani niliyo panga
alikua hivi hivi,.....lakini pale hakukua na mtu mwenye
haiba ya Katavi ,so huyu ni mwingine sio anae muongelea katavi.
Nacho sema ni kwamba,watu wa aina hii wapo wengi sana.
bora kuoa tu mapema duh.