Sichagui CHADEMA, nachagua uwezo wa mtu 2015

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
245
Reaction score
116
Amani iwe kwenu wanajanvi,
Katika jamii kuna watu wa aina mbili,watu wanaoukubali ukweli, lakini wanabisha na kundi lingine wanakubali ukweli.

Mimi nimeishi katika majimbo ya Nyamagana na Kawe,haya yote yanaongozwa na CHADEMA lakini ukiangalia ahadi walizozitoa hakuna zilizotekelezeka, mfano Wenje aliahidi watu wa Sweya kuwa akiingia madarakani atahakikisha anarudisha viwanja vilivyochukuliwa na wakubwa.

Kawe,Mdee alihaidi kuwa akipewa nafasi atahakikisha soko la Kawe kuwa magari yote yatakuwa yanageuzia hapo kwa lengo la kupanuka kwa biashara,pili Tanganyika pekas atairudisha kwa wananchi.

Leo wananchi wanauliza juu ya ahadi hizo, eti wanasema madiwan wa CCM ndio vikwazo vya ahadi zao.

SwalI: Je kama ndio madiwani ni vikwazo,je kuna umuhimu wa kuchagua tena upinzan? kwa sababu tutaendelea kutokuwa na maendeleo mpaka 2050 watakapochaguliwa madiwan wa CHADEMA.

Kiukweli wabunge wa CHADEMA ni wazuri sana kuongea bungeni, lakin majimbo yao yamedolora.

Najua mtasema serikal ndio inaleta maendeleo, je kwa nini wanatoa ahadi?
 
amani iwe kwenu wanajanvi,
katika jamii kuna watu wa aina mbili, watu wanaoukubali ukweli, lakini wanabisha na kundi lingine wanakubali ukweli. mimi nimeishi katika majimbo ya nyamagana na kawe. haya yote yanaongozwa na chadema lakini ukiangalia ahad walizozitoa hakuna zilizotekelezeka, mfano wenje aliahid watu wa sweya kuwa akiingia madarakan atahakikisha analudisha viwanja vilivyochukuliwa n wakubwa, kawe mdee alihaid kuwa akipewa nafas atahakikisha soko la kawe kuwa magari yote yatakuwa yanageuzia hapo kwa lengo la kupanuka kwa biashar, pili tanganyika pekas atailudisha kwa wananch, leo wananchi wanauliza juu ya ahad hizo, et wanasema madiwan wa ccm ndio vikwazo vya ahad zao. swal je kama ndio madiwani ni vikwazo,je kunaumuhimu wa kuchagua tena upinzan? kwa sababu tutaendelea kutokuwa na maendeleo mpaka 2050 watakapochaguliwa madiwan wa chadema. kiukweli wabunge wa chadema ni wazuri sana kuongea bungen, lakin majimbo yao yamedolora. najua mtasema serikal ndio inaleta maendeleo, je kwa nini,wanatoa ahadi

Kweli nimeamini wewe ni MTOTO KITAA!
 
Bado wanajenga chama kuhusu maendeleo subiri chama kijengeke,, huoni hata michango yao mingingi wawapo bungeni inazungumzia chama zaidi kuliko wananchi, nb: watakutukana lkn ukweli utabaki kuwa ukweli
 
Umeambiwa kikwazo ni madiwani wa CCM,lawama kwa CDM zinatoka wapi? wewe changua yeyote ila mtu bora na mgombea bora atatoka upande mwingine/SIZE]
 
Amani iwe kwenu wanajanvi,
Katika jamii kuna watu wa aina mbili,watu wanaoukubali ukweli, lakini wanabisha na kundi lingine wanakubali ukweli.

Mimi nimeishi katika majimbo ya Nyamagana na Kawe,haya yote yanaongozwa na CHADEMA lakini ukiangalia ahadi walizozitoa hakuna zilizotekelezeka, mfano Wenje aliahidi watu wa Sweya kuwa akiingia madarakani atahakikisha anarudisha viwanja vilivyochukuliwa na wakubwa.

Kawe,Mdee alihaidi kuwa akipewa nafasi atahakikisha soko la Kawe kuwa magari yote yatakuwa yanageuzia hapo kwa lengo la kupanuka kwa biashara,pili Tanganyika pekas atairudisha kwa wananchi.

Leo wananchi wanauliza juu ya ahadi hizo, eti wanasema madiwan wa CCM ndio vikwazo vya ahadi zao.

SwalI: Je kama ndio madiwani ni vikwazo,je kuna umuhimu wa kuchagua tena upinzan? kwa sababu tutaendelea kutokuwa na maendeleo mpaka 2050 watakapochaguliwa madiwan wa CHADEMA.

Kiukweli wabunge wa CHADEMA ni wazuri sana kuongea bungeni, lakin majimbo yao yamedolora.

Najua mtasema serikal ndio inaleta maendeleo, je kwa nini wanatoa ahadi?
I love the heading very much.
 
kumbe hizo sehemu umeishi mimi nilifikili kuwa uliwapigia kura.hizo siasa za maji taka wewe mpigie yeyote unaye mwitaji wewe unayemwona anayekufaa.kura yako moja baki nayo.
 
...kwanini usiseme sichagui ccm, angalia kijana usije ukawa umeshiba taka ngumu,tupo imara na majimbo yote tutatetea ikiwa pamoja na kawe ubungo na nyamagana,na tunaongeza mengine mengi tu...
 
Amani iwe kwenu wanajanvi,
Katika jamii kuna watu wa aina mbili,watu wanaoukubali ukweli, lakini wanabisha na kundi lingine wanakubali ukweli.

Mimi nimeishi katika majimbo ya Nyamagana na Kawe,haya yote yanaongozwa na CHADEMA lakini ukiangalia ahadi walizozitoa hakuna zilizotekelezeka, mfano Wenje aliahidi watu wa Sweya kuwa akiingia madarakani atahakikisha anarudisha viwanja vilivyochukuliwa na wakubwa.

Kawe,Mdee alihaidi kuwa akipewa nafasi atahakikisha soko la Kawe kuwa magari yote yatakuwa yanageuzia hapo kwa lengo la kupanuka kwa biashara,pili Tanganyika pekas atairudisha kwa wananchi.

Leo wananchi wanauliza juu ya ahadi hizo, eti wanasema madiwan wa CCM ndio vikwazo vya ahadi zao.

SwalI: Je kama ndio madiwani ni vikwazo,je kuna umuhimu wa kuchagua tena upinzan? kwa sababu tutaendelea kutokuwa na maendeleo mpaka 2050 watakapochaguliwa madiwan wa CHADEMA.

Kiukweli wabunge wa CHADEMA ni wazuri sana kuongea bungeni, lakin majimbo yao yamedolora.

Najua mtasema serikal ndio inaleta maendeleo, je kwa nini wanatoa ahadi?

cc: watetezi wa Lema : Crashwise , Mungi...tunapoongea kuhusu ulaghai wa CHADEMA mtusikilize, tuna hoja ya msingi sana!
 
Chadema ni saccoss ya familia ya kina mbowe, slaa na waunga mkono wao.
 
Wabunge wa Chadema wanatoa ahadi tu bila kuwa na mkakati wa kuzitekeleza.
 
By Mtoto Kitaa. "Kuna watu wa aina mbili, wanaoujua ukweli lkn wanaupinga na wanaoujua ukwel na kuukubali" hapa nipo nilipokurudi na kukujua kuwa ww unajua ukwel wabunge wa CDM ni majembe hasa kwa level ya kitaifa hivo ww ni aina ya watu wabishao ukwel. Kuhusu Nyamagana na Kawe waheshimiwa nikwel walitoa ahadi hizo na walipita kila kata wakiomba madiwani wa cdm ndio muwape kura il utekeldzaji uwe mwepesi lkn kawe hamkuwachagua ingawa Mza walifanikiwa. Ss kwa maamzi ya baraza la madiwani kawe Mdee afanyaje? Kwa mza songombigo ziliibuka halimashaur ikamegwa mara 2 na bado fitina za umeya zikafanywa na hatimaye cdm kufukuza baadhi ya madiwani kama ilivyokuwa ARS. Mwisho ukwel utabaki ukwel kwa waelewa kz kwako.
 
Back
Top Bottom